Waziri ashtuka kuwekewa ndumba afisini mwake

Na STEPHEN ODUOR TETESI za maafisa wa serikali ya Kaunti ya Tana River kuroga wenzao, zimeibuka baada ya waziri katika kaunti hiyo...

Wakazi wachoma nyumba sita za mshukiwa wa uchawi

Na GEORGE ODIWUOR POLISI katika eneo la Ndhiwa, Kaunti ya Homa Bay walikuwa na wakati mgumu kutuliza wanakijiji waliochoma nyumba sita...

KURUNZI YA PWANI: Waganga 20 sasa waililia serikali iwatambue

Na CHARLES LWANGA KUNDI la waganga 20 eneo la Magarini, Kaunti ya Kilifi wameitaka serikali itambue kazi yao ya kutibu wagonjwa ili...

Wazee wanaodaiwa kuwa wachawi wazidi kuuawa Kwale

Na FADHILI FREDRICK HOFU imetanda katika Kaunti ya Kwale baada ya visa vya mauaji dhidi ya wazee kwa madai ya kuwa wachawi...

Wazazi waonywa dhidi ya kupeleka watahiniwa kwa wachawi

Na SHABAN MAKOKHA MAAFISA wa elimu katika kaunti ndogo ya Mumias wameonya wazazi dhidi ya kuwahusisha wanafunzi wao katika ushirikina...

Uchawi wa kutengeneza pombe haramu wafichuliwa

Na KNA MAAFISA wa utawala katika Kaunti Ndogo ya Bondo, Kaunti ya Siaya wamefichua mbinu za kishirikina ambazo watengenezaji pombe...

Tetesi kasisi alitumia ndumba kupora mke

Na CORNELIUS MUTISYA NZAIKONI, MACHAKOS Pasta mmoja wa eneo hili ameingiwa na kibaridi baada ya tetesi kutanda mtaani kuwa alitumia...

Jombi atisha kutimua mke kwa kukataa kuamini ushirikina

Na LEAH MAKENA GATUNGA, THARAKA POLO wa hapa alitisha kumfurusha mkewe akimlaumu kwa kuchochea wanawe kutokubali dawa ya mganga ya...

Redio 24 Uganda zafungwa kwa kupeperusha matangazo ya uchawi

Na BENSON MATHEKA TUME  ya Mawasiliano ya Uganda (UCC), imeagiza vituo 24 vya redio vifungwe mara moja kwa kupeperusha matangazo...

Nyanya auawa kwa kushukiwa kutumia uchawi kuua watu 4

Na NICHOLAS KOMU NYANYA mwenye umri wa miaka 60 aliuawa na wakazi wa kijiji cha Kibingoti, Kaunti ya Kirinyaga kwa kushukiwa kutumia...

Ajuta kukopa Sh700,000 kutoka kwa benki kulipa mganga

Na WAANDIDHI WETU MWANAMUME aliyechukua mkopo kumlipa mganga amsaidie kumrudisha mkewe aliyetoroka, sasa anataka mganga huyo ashtakiwe...

Uchawi wazidi kanisani huku waumini wakiamini nguvu za giza kuliko Mola

Na MWANGI MUIRURI WAUMINI wengi makanisani wanashiriki uchawi kuliko wanavyozingatia mafunzo ya kidini, Muungano wa Makanisa ya...