Mbunge alaani hatua ya wakazi kuweka uchawi mbele kuliko elimu Pwani

NA KALUME KAZUNGU MBUNGE wa Kaloleni, Bw Paul Katana, amelaani hatua ya baadhi ya wakazi wa eneo hilo wanaodaiwa kushirikiana...

Washukiwa kusalia seli siku 10

WYCLIFFE NYABERI na CHARLES WASONGA WANAUME wanne wanaoshukiwa kuwateketeza wanawake wakongwe kwa tuhuma za uchawi eneo la Marani,...

Ni hatia kumsingizia mtu kuwa mchawi

Na WAANDISHI WETU HUKU visa vya wazee kwa tuhuma za uchawi vikiendelea kukithiri haswa katika kaunti ya Kwale, Kilifi na Kisii,...

Pasta asherehekea kufariki kwa nabii TB Joshua, asema alikuwa mchawi

MASHIRIKA PASTA mmoja wa Uganda alisherehekea kifo cha Nabii Temitope Balogun Joshua, almaarufu TB Joshua, akimtaja marehemu kama...

Mimi si mchawi – Raila Odinga

LEONARD ONYANGO na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa ODM, Bw Raila Odinga jana aliendeleza juhudi za kuimarisha uhusiano kati yake na viongozi...

Wakazi wampiga mwendawazimu wakidai ni mchawi

NA CHARLES ONGADI MWANAMKE mwenye umri wa miaka 33 alipokezwa kichapo cha mwaka  na umati kwa tuhuma za uchawi katika kijiji cha...

Wazee sita huuawa kila wiki Pwani – Serikali

Na WACHIRA MWANGI YAHOFIWA mkongwe mmoja huuliwa kila wiki katika kila kaunti za Pwani kwa madai ya uchawi, kwa mujibu wa Mshirikishi wa...

2019: Jumla ya wazee 46 waliuawa wakidaiwa kuwa wachawi

Na MAUREEN ONGALA JUMLA ya wazee 46 waliuliwa katika Kaunti ya Kilifi mwaka huu kwa madai potovu kwamba walikuwa wachawi, kwa mujibu wa...

Wenye matatu sasa wageukia ndumba kuvuta wateja

Na STEPHEN ODUOR WAMILIKI wa matatu katika Kaunti ya Tana River wamelaumiana kuhusu utumizi wa juju kuvutia wateja na kuharibia wenzao...

Daktari alaumu uchawi Kilifi kwa umaskini wake

Na MAUREEN ONGALA DAKTARI wa mifugo aliyestaafu katika Kaunti ya Kilifi, anadai kuwa uchawi umemsababishia umaskini mkubwa maishani...

Wazee waficha mvi wasiuawe

Na WINNIE ATIENO WAZEE eneo la Pwani wanalazimika kuvaa kofia kukuficha mvi wakihofia kuuawa. Pia wengi wameanza kupaka rangi nyeusi...

Wakazi wa mtaa wa Karagita walalama ‘nguvu za giza’ zimezidi

Na MWANGI MUIRURI WAKAZI wa mtaa wa Karagita ulioko katika Kaunti ya Nakuru wameteta kuwa serikali yao ya kaunti inatoa leseni...