Jinsi Kenya inavyoweza kuimarisha viwanda vyake

NA SAMMY WAWERU Kwenye mojawapo ya vitabu vyake, Neglected Value, Roger Wekhomba ambaye ni mtafiti, amechanganua kwa mapana na marefu...

CORONA: Wauzaji nguo walia hela hazipatikani

NA SAMMY WAWERU WAFANYABIASHARA wa nguo wameathirika kwa kiasi kikuu tangu kisa cha kwanza cha ugonjwa wa Covid-19 kuripotiwa...

Ni kubaya!

Na VALENTINE OBARA na BENSON MATHEKA WAKENYA wameingiwa na wasiwasi tele kuhusu watakavyojikimu kimaisha kutokana na idadi kubwa ya...

Uhuru kimya hali ya nchi ikizorota

BENSON MATHEKA Na SAMMY LUTTA KIMYA cha Rais Uhuru Kenyatta wakati serikali yake na nchi kwa jumla inakabiliwa na changamoto nyingi,...

ODONGO: Rivatex ichangie katika ufufuzi wa kilimo cha pamba

Na CECIL ODONGO KUFUFULIWA kwa kiwanda cha kutengeneza nguo cha Rivatex kumewapa matumaini mapya wakulima wa pamba kutoka iliyokuwa...

AJIRA: Mwiba wa kujichoma unavyoitesa serikali

Na LEONARD ONYANGO TANGAZO la Serikali mnamo Jumanne kuwa kuanzia Julai itaajiri wafanyikazi wake kwa kandarasi ili kubana matumizi...

Uthabiti wa shilingi ya Kenya watajwa kuwa ‘sumu’ Jumuiya

Na MWANGI MUIRURI UTHABITI wa Shillingi ya Kenya katika soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umetajwa kama kiini cha...

Ukosefu wa mvua kulemaza ukuaji wa uchumi

Na BERNARDINE MUTANU Ukuaji wa uchumi nchini Kenya utatatizika kutokana na upungufu wa mvua nchini. Ripoti hii ni kwa mujibu wa...

Wakenya wengi hawaweki akiba, hukopa marafiki – Ripoti

EDWIN OKOTH Na BENSON MATHEKA WAKENYA wengi wanakabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi mwaka huu licha ya serikali kusema hali ya uchumi iko...

Hapa hujuma tu!

Na VALENTINE OBARA MABILIONI ya pesa za umma yameharibiwa kwenye miradi mikubwa ya Serikali ya Jubilee, ambayo imekwama au imeshindwa...

UCHUMI: Uganda yapaa Kenya ikichechemea

Na BENSON MATHEKA Kwa Muhtasari: Wakenya wanaendelea kununua bidhaa kwa wingi kutoka Uganda badala ya kununua zinazotengenezewa...

Kaunti 10 zenye bidii ya kuiletea Kenya mapato

Na BERNARDINE MUTANU Kaunti ya Nairobi ndiyo iliyoipa Kenya mapato mengi zaidi ikilinganishwa na kaunti zingine. Kulingana na ripoti...