UBABE: Hatari ya vita baina ya Amerika na Uchina yanukia 2019

NA FAUSTINE NGILA KATIKA taarifa za kimataifa za miaka ya hivi karibuni, vita vya kiuchumi baina ya Amerika na Uchina zimetawala kwenye...

Wakenya waliteseka 2018, watarajia hali bora 2019

NA LILYS NJERU JAPO mwaka uliopita wa 2018 ulikuwa na changomoto chungu nzima kwa wananchi, Wakenya wengi mwaka huu wa 2019 wameomba...

MWAKA MPYA 2019: Wito wa amani na umoja Kenya

BENSON MATHEKA na BRIAN OCHARO WAKENYA wamehimizwa kuishi kwa umoja na amani mwaka huu ili nchi ipate ustawi wa kiuchumi. Viongozi wa...

Raia wa Argentina wagoma kulilia hali mbaya ya uchumi

Na AFP SHUGHULI zilikwama Argentina kufuatia mgomo wa umma Jumanne uliosababishwa na matatizo ya kiuchumi yanayokabili taifa...

WANDERI: Muda umefika Wakenya kuungana ili kujikomboa

Na WANDERI KAMAU MNAMO Agosti 10, 1792 mfumo wa kifalme ulifikia mwisho nchini Ufaransa, baada ya maandamano makubwa ya wakulima dhidi...

Uhuru kona mbaya kutuliza ghadhabu za Wakenya

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta anarejea nchini kutoka China akiwa kwenye kona mbaya kutokana na shinikizo ambazo zimetokana na...

Sababu za Kenya kung’ang’aniwa kama mpira wa kona

WYCLIFFE MUIA na PETER MBURU MATAIFA yenye uwezo mkubwa kiuchumi kutoka Magharibi na Mashariki mwa ulimwengu yameonyesha kuvutiwa zaidi...

MUTANU: Serikali idhibiti bei ili kupunguzia Mkenya mzigo wa maisha

Na BERNARDINE MUTANU TANGU mwaka wa 2017, hali ya uchumi nchini imekuwa mbaya kiasi kwamba gharama ya maisha imepanda sana. Huku bei...

Mtoto wa tajiri ana nafasi nzuri maishani – Benki ya Dunia

Na VALENTINE OBARA MTOTO anayezaliwa katika familia maskini nchini hupata nafasi ndogo ya kujiimarisha kiuchumi kuliko yule anayezaliwa...

Leba Dei: Makali ya uchumi yawatafuna zaidi Wakenya

Na BENSON MATHEKA WAKENYA Jumanne waliadhimisha siku ya wafanyakazi ulimwenguni katika mazingira magumu mno, gharama ya maisha...

Benki ya NIC itainyanyua Uchumi?

Na BERNARDINE MUTANU Duka la Uchumi limegeukia Benki ya NIC kulisaidia kukabiliana na changamoto za kifedha linaloshuhudia. Hii ni...

Gharama ya umeme kupanda mwishoni mwa Machi

Na BERNARDINE MUTANU GHARAMA ya matumizi ya umeme inatarajiwa kupanda juu zaidi mwezi huu. Hii ni baada ya Tume ya Kudhibiti Kawi (ERC)...