Dereva afungwa maisha kwa kusaidia magaidi kuteka Wacuba

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA dereva kaunti ya Mandera aliyewasaidia magaidi wa Al Shabaab kuwateka nyara madaktari wawiili kutoka Cuba...

Nyumba ya gaidi wa Al Shabaab kutwaliwa na serikali

Na RICHARD MUNGUTI NYUMBA ya mwanamke iliyojengwa na fedha za kundi la magaidi wa Al Shabaab jijini Nairobi imetwaliwa na...

Mshukiwa wa ugaidi taabani

Na RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA wa kundi la ugaidi Al Shabaab alipatikana na kesi ya kujibu na Mahakama ya Milimani Nairobi Jumatatu. Hakimu...

Waislamu wakemea serikali kuhusu utekaji wa washukiwa wa ugaidi

WINNIE ATIENO na BRIAN OCHARO VIONGOZI wa Kiislamu wameishutumu serikali kwa kuongezeka kwa visa vya kupotezwa kwa washukiwa wa ugaidi...

Amerika yafungia Taliban pesa

Na MASHIRIKA AMERIKA imefunga akaunti za Benki Kuu ya Afghanistan zenye Sh950 bilioni ili kuuzuia utawala mpya wa Taliban kupata fedha...

Shambulizi la bomu 1998 lilivyomtosa kwa usanii

NA ABDULRAHMAN SHERIFF AKIWA miongoni mwa Wakenya walioathiriwa wakati wa maafa ya bomu la Balozi wa Marekani jijini Nairobi mnamo...

Fumbo kuhusu mauaji ya mfanyabiashara Bashir

NA MARY WAMBUI MASWALI yanaendelea kuibuka iwapo mfanyabiashara Mohamud Bashir aliyeuawa katika hali ya kutatanisha, alikuwa akisakwa na...

Corona yasukuma watoto kushiriki katika ugaidi – UN

Na MASHIRIKA NEW YORK, AMERIKA JANGA la corona linasukuma watoto kutoka familia masikini katika maeneo yanayokumbwa na mizozo, hasa...

Walimu waililia serikali iwalinde dhidi ya ugaidi

Na Manase Otsialo CHAMA cha Walimu nchini (KNUT) kimeitaka serikali ihakikishe usalama unaimarishwa Kaunti ya Mandera ili masomo yarejee...

Unyama magaidi wakilipua ambulensi ya mjamzito

Na MARY WAMBUI MTU mmoja alifariki baada ya magaidi kushambulia ambulensi ya Serikali ya Kaunti ya Mandera usiku wa kuamkia...

Ugaidi Lamu ulipungua 2020

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wa kaunti ya Lamu wana matumaini makubwa kwamba vita dhidi ya magaidi wa Al-Shabaab vitamalizwa eneo hilo...

Ugaidi wafanya vijiji Lamu visalie mahame

Na KALUME KAZUNGU MAGAIDI wa Al-Shabaab wamevuruga maisha ya wakazi kwenye vijiji kadha vya Lamu ambavyo miaka iliyopita vilishuhudia...