Atupwa ndani kwa kujigamba kuwa gaidi sugu

Na TITUS OMINDE MWANAMUME aliyejigamba kuwa gaidi na kukiri mashtaka mawili ya kujifanya afisa wa polisi na kughushi cheti cha tabia...

Aliyekamatwa kwa dai la kuzua hofu ya ugaidi apewa dhamana

JOSEPH WANGUI na MARY WAMBUI ALIYEKUWA meneja wa jengo la Doctors Park, Nairobi, ambalo wiki jana lilifanyiwa upekuzi wa kina na...

Washukiwa 43 wa ugaidi kukaa kizuizini siku 2

Na RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA 43 wa ugaidi waliokamatwa siku mbili zilizopita watazuiliwa katika makao makuu ya Polisi wa Kupambana na...

Washukiwa 5 wa ugaidi wanaswa wakila njama

LEONARD ONYANGO na KALUME KAZUNGU WASHUKIWA watano wa ugaidi walikamatwa wikendi wakidaiwa kuchunguza eneo la burudani jijini Nairobi...

Ugaidi: Familia yalia polisi imwache huru mwanao

Na FADHILI FREDRICK Familia moja katika Kwale inawataka maafisa wa polisi kumweka huru kijana wao mwenye umri wa miaka 20 ambaye...

Sh500 milioni kwa atakayefichua aliko Jehad Serwan Mostafa

Na MARY WAMBUI Idara ya upelelezi ya Amerika (FBI), imetoa zawadi ya Sh500 milioni kwa yeyote atakayetoa habari zitakazofanikisha...

Kizimbani kwa kupanga njama ya kushambulia makanisa

Na RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA wa ugaidi mwenye umri wa miaka 19 anayedaiwa alikuwa amepanga njama za kushambulia makanisa matatu moja ya...

Mshukiwa wa ugaidi akanusha madai mahakamani

Na BRIAN OCHARO, MISHI GONGO na JOSEPH NDUNDA MSHUKIWA wa ugaidi anayedaiwa kuwa na mizizi yake Syria, Somalia na nchi zingine tatu,...

Muturi, balozi McCater watofautiana kuhusu kujitolea kwa Amerika kuukabili ugaidi

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi na Balozi wa Amerika nchini Kyle McCater wametofautiana kuhusu suala la...

Polisi wahudumia mshukiwa wa ugaidi baada ya kumpiga risasi

Na WACHIRA MWANGI WAKAZI wa mtaa wa Tudor Mwisho, Kaunti ya Mombasa jana walistaajabishwa na jinsi polisi walivyoepuka kumuua mshukiwa...

Mbinu za kukabiliana na ugaidi kufunzwa shuleni nchini Kenya

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa serikali itaanzisha mpango wa kutoa mafunzo kuhusu mbinu za kuzuia ugaidi katika...

Ashtakiwa kujiunga na Al-Shabaab, ISIS na ISIL

Na RICHARD MUNGUTI MWANAFUNZI katika mojawapo ya vyuo vya teknolojia nchini alishtakiwa Jumanne kwa kuwa mwanachama wa makundi matatu ya...