Kaunti zote zitapokea fedha Jumatatu – Serikali

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Fedha Ukur Yatani Ijumaa alisema kuwa serikali 47 za kaunti zitasambaziwa Sh60 bilioni kuanzia Jumatatu,...

Kaunti zitaongezewa Sh50 bilioni kwa bajeti – Uhuru

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta mnamo Jumanne, September 15, 2020, aliahidi kuwa Serikali ya Kitaifa itaongeza mgao wa...

Ukosefu wa fedha walemaza miradi, huduma katika kaunti

Na KENNEDY KIMANTHI SERIKALI zote 47 za kaunti nchini hazitaweza kugharimia miradi ya maendeleo ya kaunti au kulipia huduma za maji,...

Ikulu inaingilia ugavi wa fedha za kaunti, Kang’ata afichua

Na CHARLES WASONGA HUENDA muafaka kuhusu suala tata la mfumo wa ugavi wa fedha miongoni mwa serikali 47 za kaunti usipatikane hivi...

Maseneta waunda kikao kingine cha upatanisho

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine maseneta wamebuni kamati ya upatanishi kujaribu kusaka mwafaka kuhusu suala tata la mfumo wa ugavi...

Seneta Lelengwe aachiliwa huru bila masharti

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Samburu Steve Lelengwe mnamo Jumatatu, Agosti 17, usiku aliachiliwa huru baada kuhojiwa na maafisa wa...

Maseneta wanavyotumia utata wa ugavi wa mapato kujijenga

Na WANDERI KAMAU IMEBAINIKA kuwa baadhi ya maseneta wanatumia utata uliopo kuhusu Mfumo wa Ugavi wa Mapato kwa serikali za kaunti...

Maseneta wazidi kutofautiana kuhusu fedha za kaunti

Na CHARLES WASONGA HUENDA maseneta wakakosa kuelewana tena kuhusu mfumo mwafaka wa ugavi wa fedha kwa kaunti, baada ya kamati ya...

Maseneta wakosa kuelewana kwa mara ya saba

Na CHARLES WASONGA KWA mara ya saba Jumanne, maseneta walifeli kuelewana kuhusu suala ya mfumo wa fedha baina ya kaunti. Hii ni baada...

Ni wakati wetu kupata maendeleo, wafoka wabunge wa maeneo kame

Na CHARLES WASONGA WABUNGE kutoka maeneo kame nchini (ASAL) wamewataka maseneta kutupilia mbali mfumo wa ugavi wa fedha kwa kaunti...

Siasa za ugavi wa pesa zachangia kufifia kwa umaarufu wa Ruto Mlima Kenya

NA MWANGI MUIRURI SIASA za mfumo utakaotumika kugawa Sh316.5bilioni za Kaunti mwaka huu wa kifedha (2020/21) zinatishia umaarufu wa...

WASONGA: Mzozo wa ugavi pesa ni kuhusu siasa wala si maslahi ya raia

Na CHARLES WASONGA LEO maseneta wanarejelea mjadala tata kuhusu mfumo wa ugavi wa fedha miongoni mwa kaunti 47. Hii ni baada yao kukosa...