Sababu za Rais ‘kuhepa’ mkutano wa Raila- Wadadisi

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta kutohudhuria mkutano wa leo ambapo kiongozi wa ODM Raila Odinga anatangaza rasmi azma...

Matusi dhidi ya Raila yamwandama Uhuru

Na LEONARD ONYANGO MATAMSHI ya zamani ya Rais Uhuru Kenyatta ya kumdhalilisha Kiongozi wa ODM Raila Odinga yamegeuka kuwa kizingiti...

JAMVI: Roho ya Uhuru iko kwa OKA au Raila?

Na CHARLES WASONGA HUKU ikisalia miezi tisa pekee kabla ya Wakenya kwenda debeni kumchagua rais mpya, mrengo ambao Rais Uhuru Kenyatta...

Rais Kenyatta azindua kiwanda cha kutengeneza silaha za idara ya usalama Ruiru

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta, Alhamisi amezindua kiwanda kidogo cha kutengeneza silaha zitakazotumika na maafisa wa usalama...

WANDERI KAMAU: Tujinasue sasa kutoka kwa mfumo wa kibepari

Na WANDERI KAMAU MDAHALO unaoendelea katika ulingo wa siasa nchini kuhusu watu matajiri na wale maskini, ni timio la onyo tulilopewa...

Uhuru, Raila wanusurika kufika mahakamani

Na RICHARD MUNGUTI RAIS Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa ODM Raila Odinga, sasa hawatahitajika kutoa taarifa katika kesi inayokabili...

COVID: Uhuru akiri makosa

VALENTINE OBARA na MARY WANGARI RAIS Uhuru Kenyatta amekubali kuwa mapuuza yake na viongozi wenzake kuhusu janga la corona yamechangia...

Avuna kwa sura kama ya Uhuru

Na PETER MBURU MWANAMUME ambaye amepata umaarufu ghafla kutokana na kufanana na Rais Uhuru Kenyatta, ameanza kuvuna matunda baada ya...

Uhuru aangusha bakora

CHARLES WASONGA na IBRAHIM ORUKO MISUKOSUKO ya kisiasa ambayo imekuwa ikitokota katika chama tawala cha Jubilee hatimaye ililipuka...

JUBILEE: Tuju athibitisha kikao cha Rais Kenyatta na maseneta Ikuluni Jumatatu

Na CHARLES WASONGA KATIBU Mkuu wa Jubilee Raphael Tuju amethibitisha kuwa maseneta wa chama hicho wamealikwa na Rais Uhuru Kenyatta kwa...

COVID-19: Rais Kenyatta atia saini mswada wa kupunguza ushuru

Na CHARLES WASONGA SASA ni rasmi kuwa waajiriwa wanaopokea mshahara usiozidi Sh24,000 kila mwezi hawatatozwa ushuru wowote na wale...

Simhitaji Uhuru kupenya Mlima Kenya, adai Raila

Na PETER MBURU KIONGOZI wa chama cha ODM Raila Odinga amesema kuwa hahitaji kushikwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta ili kupenya Mlima...