Wandani wa Ruto wamrai Rais Uhuru asimteme

BENSON AMADALA na SHABAN MAKOKHA WANDANI wa Naibu Rais William Ruto wamemwomba Rais Uhuru Kenyatta kutomtenga Dkt Ruto anapomaliza...

Yaibuka Ruto ‘alimsindikiza’ Uhuru uchaguzini

Na MWANDISHI WETU HUENDA Rais Uhuru Kenyatta alisaidiwa na wataalamu wa kampuni iliyosimamia kampeni zake ya Cambridge Analytica,...

Sababu ya Uhuru kumfuata Ruto kanisani

Na VALENTINE OBARA Wakenya wengine walishangaa kwa nini mchango wake ulitangazwa, ilhali Kanisa Katoliki lilitoa masharti mapya kuhusu...

Ni kubaya lakini msinilaumu – Uhuru

Na GAKUU MATHENGE na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta amekiri kwamba hali si shwari katika utawala wake lakini akajiondolea lawama...

Mavazi ya Uhuru, Raila yaibua gumzo

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga waliibua mjadala Jumapili walipowasili wakiwa wamevaa mavazi...

Uhuru akosa njia Kibra

Na BENSON MATHEKA MGAWANYIKO katika chama cha Jubilee kuhusu uchaguzi mdogo wa eneobunge la Kibra pamoja na handisheki zimemuacha Rais...

Wabunge wailaumu KRA kwa kushindwa kukusanya Sh158 bilioni

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) Jumatano ililaumiwa kwa kufeli kukusanya ushuru unaofikia kiasi cha Sh158...

Uhuru ashauri viongozi wa Pwani waungane

Na PSCU Na BENSON MATHEKA RAIS Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa viongozi wa eneo la Pwani kuungana na kufanya kazi kwa pamoja ili...

Msingi wa Mlima Kenya kumkaidi Uhuru watolewa ufafanuzi

Na MWANGI MUIRURI MATUMAINI ya wanaolenga kutwaa kura za Mlima Kenya kupitia ushawishi wa Rais Uhuru Kenyatta eneo hilo wanaonywa kuwa...

Uhuru, Raila wakutana kisiri ufuoni

Na CAROLINE WAFULA na VICTOR RABALLA RAIS Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM, Raila Odinga, Ijumaa jioni walifanya mkutano wa kisiri...

Rais Kenyatta awaonya wafanyabiashara wakiritimba, wenye tamaa wanaochangia mfumkobei

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta Jumamosi amewaonya wafanyabiashara wenye mazoea ya kuongeza bei za bidhaa kiholela hasa za...

JAMVI: Sababu za Uhuru kuogopa kuitisha kikao Jubilee

Na CHARLES WASONGA IMEBAINIKA kuwa Rais Uhuru Kenyatta anasita kuitisha mkutano wa kundi la wabunge wa chama cha Jubilee kwa hofu ya...