Ruto aahidi yaliyoshinda UhuRuto

Na LEONARD ONYANGO NAIBU Rais William Ruto ameanza kutoa msururu wa ahadi ya yale atafanyia raia wa Kenya akichaguliwa rais licha ya...

Jubilee kuachia kila raia deni la Sh180,000

Na BENSON MATHEKA SERIKALI ya Jubilee itaachia kila raia wa Kenya, wakiwemo watoto watakaozaliwa mwaka 2022, mzigo wa kulipa Sh180,000...

UhuRuto wazua wasiwasi

Na WANDERI KAMAU TOFAUTI za kisiasa na majibizano ya hadharani kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu Rais William Ruto zimetajwa kuwa...

Uhuru na Ruto wajiuzulu ikiwa hawawezi kushirikiana – Karua

Na Wanderi Kamau KIONGOZI wa Narc-Kenya, Bi Martha Karua, amesema Rais Uhuru Kenyatta ameonyesha mfano mbaya katika uzingatiaji wa...

UHURUTO WALIVYOFUTA REKODI YA KIBAKI

BENSON MATHEKA NA PAUL WAFULA MATATIZO ya kiuchumi yanayokumba Kenya kwa wakati huu yanatokana na hatua ya serikali ya Jubilee kudunisha...

WANDERI KAMAU: Uhuru, Ruto wajue dunia nzima inawatazama

Na WANDERI KAMAU MOJAWAPO ya matukio ambayo daima yatakumbukwa na vizazi vijavyo nchini, ni ghasia za kikabila zilizotokea baada ya...

CHARLES WASONGA: Ni aibu sana Rais na Naibu wake wake kupakana tope hadharani

Na CHARLES WASONGA ILIKUWA makosa makubwa kwa Naibu Rais William Ruto kumjibu hadharani bosi wake, Rais Uhuru Kenyatta, kufuatia kauli...

Kibarua cha kuokoa UhuRuto

Na BENSON MATHEKA JUHUDI za viongozi wa kidini za kupatanisha Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto, huenda zikakumbwa na...

Wataalamu wailaumu ICC kwa kusitisha kesi za UhuRuto

NA VALENTINE OBARA MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imekosolewa kwa kufanya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake, Dkt William Ruto,...

Mgogoro wa Sudi ulivyofichua siri ya vita vya UhuRuto

Na LEONARD ONYANGO KIZAAZAA wakati wa kukamatwa kwa Mbunge wa Kapseret, Bw Oscar Sudi kimefichua namna uhusiano baina ya Rais Uhuru...

Refarenda ndiyo cheti rasmi cha ‘talaka’ ya UhuRuto?

Na MWANGI MUIRURI HUENDA refarenda iwe ndiyo barabara kuu ya kupisha utengano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake Dkt William...

Uhuru na Ruto wapeleka vita vyao vya ubabe katika makanisa

Na LEONARD ONYANGO VIONGOZI wa makanisa wamejipata katikati ya ubabe wa kisiasa baina ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William...