JAMVI: Ukabaila ulivyowapasua UhuRuto

Na MWANGI MUIRURI IMEIBUKA kuwa shinikizo za kibiashara, ukabila na unabii wa Mugo wa Kibiru wa Karne ya 18/19 ndio kiini cha utengano...

ICC yazua baridi mpya kwa UhuRuto

Na VALENTINE OBARA WASIWASI kuhusu kufufuliwa kwa kesi dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kuhusu ghasia za baada ya...

JAMVI: Vita vya ubabe kati ya Uhuru na Ruto vyahamia Magharibi

Na LEONARD ONYANGO VITA vya ubabe wa kisiasa baina ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto sasa vimehamia katika eneo la...

UhuRuto warejelea ‘urafiki’ wao

CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU  RAIS Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto Jumatatu walijizatiti kuonyesha kuwa ukuruba kati yao...

Nimefika mwisho!

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amemnyooshea kidole cha lawama naibu wake William Ruto kama kikwazo chake katika kutimiza ahadi...

Uhuru atawaweka hadi 2022?

Na WANDERI KAMAU MASWALI yameibuka iwapo Rais Uhuru Kenyatta atafaulu kudumisha usemi wake katika chama cha Jubilee kuelekea 2022, kwa...

Uhuru azidi kumkalia Ruto

Na CHARLES WASONGA MSIMAMO wa kiongozi wa chama cha Jubilee, Rais Uhuru Kenyatta uliendelea kudhihirika wazi Ijumaa wandani wa Naibu...

Alikosea wapi?

BENSON MATHEKA na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatano aliendelea na harakati zake za 'kusafisha' chama cha Jubilee baada ya...

Uhuru aundiwa chama kipya?

Na WANDERI KAMAU IMEIBUKA kwamba mabwanyenye katika eneo la Mlima Kenya wanapanga kukitumia chama cha PNU kuwa “dau mpya” la eneo...

Kelele na Uhuru na Ruto zinavyowatesa wananchi

Na BENSON MATHEKA MATUMAINI ya Wakenya kuwa na maisha bora, umoja na usalama yanaendelea kudidimia Rais Uhuru Kenyatta na Naibu Rais...

Uhuru na Ruto, nani anamsaliti mwingine?

Na BENSON MATHEKA UHUSIANO kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto, unaendelea kuwa baridi huku makundi mawili katika...

Ndoa ya unafiki

Na MWANDISHI WETU SASA ni wazi kuwa ndoa ya kisiasa kati ya Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto imesambaratika. Hii ni...