Uingereza na Wales katika makundi ya kifo droo ya Uefa Nations League ikifanyika

Na MASHIRIKA UINGEREZA watavaana na Italia waliowapiga katika fainali ya Euro 2020 kisha Ujerumani katika hatua ya makundi ya Uefa...

Uingereza yaahidi kupiga jeki uchumi wa Kenya

Na MARY WANGARI SERIKALI YA UINGEREZA imeelezea nia yake ya kushirikiana na Kenya kufufua mifumo ya uchumi nchini kufuatia athari za...

Shinikizo Uingereza ichunguze mwanajeshi anayehusishwa na mauaji

Na MARY WAMBUI SERIKALI ya Uingereza imeshinikizwa kufanya uchunguzi wa ndani na kumshtaki mwanajeshi wake, anayetuhumiwa kumuua...

Vipusa wa Uingereza kuvaana na Northern Ireland mnamo Oktoba katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia ugani Wembley

Na MASHIRIKA UINGEREZA watacheza na Northern Ireland katika mchuano wa kufuzu kwa Kombe la Dunia mnamo Oktoba 2021, hiyo ikiwa mara ya...

FA yashtumu tukio la ubaguzi wa rangi dhidi ya Saka, Sancho na Rashford

Na MASHIRIKA SHIRIKISHO la Soka la Uingereza (FA) limeshtumu na kukashifu tukio la wanasoka Jadon Sancho, Marcus Rashford na Bukayo Saka...

Uingereza waponda Ukraine na kujikatia tiketi ya kuvaana na Denmark kwenye nusu-fainali za Euro

Na MASHIRIKA UINGEREZA walionyesha mchezo wa hali juu katika ushindi wa 4-0 waliosajili dhidi Ukraine kwenye robo-fainali ya Euro mnamo...

Kivumbi na patashika Uingereza ikitifuana leo na Ujerumani katika hatua ya 16-bora kwenye Euro

Na MASHIRIKA UINGEREZA watajaribu leo kuangusha Ujerumani kwa mara ya kwanza katika hatua ya mwondoano wa kipute cha haiba kubwa kwenye...

Waziri ajiuzulu kufumaniwa akibusiana na msaidizi wake

Na AFP LONDON, Uingereza WAZIRI wa Afya wa Uingereza Matt Hancock ambaye ameongoza taifa hilo katika vita dhidi ya maambukizi ya...

Uingereza na Scotland nguvu sawa kwenye pambano la Euro

Na MASHIRIKA UINGEREZA na Scotland waliambulia sare tasa kwenye mchuano wa Euro wa Kundi D uliowakutanisha uwanjani Wembley mnamo Ijumaa...

Waziri Mkuu asema hatahudhuria mazishi ya mume wa Malkia Elizabeth

Na MASHIRIKA WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Borris Johnson, hatahudhuria mazishi ya Mwanamfalme Philip, Jumamosi ijayo, imesema afisi yake...

Uingereza sasa yaidhinisha matumizi chanjo ya corona

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza UINGEREZA Jumatano iliibuka nchi ya kwanza duniani kuidhinisha matumizi ya chanjo ya kampuni ya...

Uingereza wana kila sababu ya kutwaa taji la Euro na Kombe la Dunia – De Bruyne

Na MASHIRIKA KIUNGO wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Kevin De Bruyne anaamini kwamba Uingereza wana kila sababu ya...