Riziki: Wamlilia Ruto awatoe kwa ukahaba

Na WACHIRA MWANGI KIKUNDI cha wanawake wanaofanya kazi ya ukahaba katika Kaunti ya Mombasa, wamemwomba Naibu Rais William Ruto awasaidie...

Corona ilivyohangaisha makahaba dhuluma zikiongezeka

NA RICHARD MAOSI MAKAHABA kutoka Magharibi mwa Kenya wamekuwa wakipitia hali ngumu ya kiuchumi tangu janga la corona kubisha humu...

Wanaume makahaba waongezeka Mombasa

Na WINNIE ATIENO TAHARUKI imetanda Kaunti ya Mombasa baada ya vijana kati ya umri wa miaka 19 na 23 kujitokeza na kutangaza hadharani...

Makahaba walilia serikali iwalinde dhidi ya dhuluma za wazee wa mitaa

Na WINNIE ATIENO MAKAHABA mjini Mombasa wanaitaka serikali iwalinde dhidi ya dhuluma na unyanyasaji wanaopitia mikononi mwa wazee wa...

FUNGUKA: Mimi ni kahaba mchana lakini mke wa mtu usiku

NA PAULINE ONGAJI Kwa wengi, ukahaba mara nyingi hutokana na umaskini. Lakini sio kwake Bi Merita. Bibi huyu ameamua kufanya kazi hii...

KURUNZI YA PWANI: Shirika lawataka wanaojiuza kimwili waanze kuuza sabuni

Na MISHI GONGO SHIRIKA la kijamii la Nkoko Iju Africa linapanga kuwafaidi makahaba 4,000 mjini Mombasa kwa kuwapatia ujuzi...

Karantini zageuzwa madanguro

Na WAANDISHI WETU MAAFISA wa serikali Kaunti ya Nyamira wanasema baadhi ya watu wanaozuiliwa karantini kwa kushukiwa kuwa na virusi vya...

Makahaba wataka wawekwe kwa orodha ya wanaotoa huduma muhimu!

Na Wachira Mwangi HOFU ya kufa njaa imewakumba makahaba katika Kaunti ya Mombasa na sasa wanataka wajumuishwe miongoni mwa watu wanaotoa...

Kioja cha ukahaba kuvuma makanisani

Na SAMMY WAWERU Uthiru, ni mojawapo ya mitaa inayounda kaunti ya Kiambu, na ambao ramani inaonyesha unapatikana katika eneobunge la...

Hatujali sura ya masponsa bora wawe na pesa nyingi – Wanafunzi

Na NASIBO KABALE WANAFUNZI wa kike katika vyuo vikuu nchini wamefichua kwamba huwa hawajali jinsi sura ya mwanamume inavyokaa...

Serikali kushtaki wazazi wa watoto katika ukahaba

Na MISHI GONGO SERIKALI itawachukulia hatua wazazi wanaohimiza watoto wao kushiriki ngono na watalii kwa lengo la kujipatia...

Ukahaba ni hatia kama uavyaji mimba – Serikali

Na GEOFFREY ONDIEKI SERIKALI imeapa kumaliza shughuli za ukahaba mjini Nakuru ambazo zimekithiri mitaani. Kamishna wa Kaunti ya...