Tag: ulaghai
- by adminleo
- October 22nd, 2018
Mbinu mpya ya wizi inayotumiwa na wanawake wanaojifanya wajawazito
Na RICHARD MUNGUTI KUNA genge la majambazi wanawake wanaojifanya ni wajawazito na kuwapora wananchi jijini Nairobi. Wanachama wa genge...
- by adminleo
- May 26th, 2018
Kamau kufika kortini baada ya wahandisi kukana kuiba mamilioni
[caption id="attachment_6632" align="aligncenter" width="800"] Waliokuwa wahandisi wakuu Wizara ya Uchukuzi, Mwangi Maingi (kulia) na...
- by adminleo
- May 22nd, 2018
Mzee akana ulaghai wa hatimiliki ya shamba Kawangware
[caption id="attachment_6206" align="aligncenter" width="800"] David Wanyee Kamuyu akiwa kiziambani kwa ulaghai Mei 21, 2018. Picha/...
- by adminleo
- May 16th, 2018
Idara ya magereza yaagizwa imtengee nafasi mshukiwa mwenye kilo 150
Na RICHARD MUNGUTI IDARA ya Magereza ilitakiwa Jumanne iweke mipango ya malazi kwa mshukiwa mmoja wa ufisadi kutokana na uzani wake mkubwa...
- by adminleo
- April 17th, 2018
Madiwani wapunjwa na ‘kamanda wa polisi’
Na BRUHAN MAKONG Wawakilishi sita wa Kaunti ya Wajir wametapeliwa na mhalifu aliyejifanya kamanda wa polisi wa kaunti hiyo Bw Stephen...
- by adminleo
- April 2nd, 2018
Mwanamume aliyejifanya Sabina Chege na kuwatapeli wabunge anaswa Tanzania
Na CHARLES WASONGA MWANAMUME anayehutumiwa kuwadhulumu wabunge mitandaoni na kuwapunja hela hatimaye ametiwa mbaroni na anazuiwa...
- by adminleo
- March 28th, 2018
Diwani akanusha mashtaka 6 ya ulaghai Murang’a
[caption id="attachment_3747" align="aligncenter" width="800"] Diwani kutoka kaunti ya Murang’a Peter Mburu Muthoni almaarufu Soloman...
- by adminleo
- March 26th, 2018
Ajenti wa M-Pesa kizimbani kuhusu njama ya kumtapeli Sabina Chege
Na RICHARD MUNGUTI AJENTI wa Mpesa wa kampuni ya Safaricom Jumatatu alishtakiwa kwa kusajili nambari ya simu ya mbunge mwakilishi wa...
- by adminleo
- March 20th, 2018
Washtakiwa kuunda nakala feki za kandarasi za mamilioni
[caption id="attachment_3222" align="aligncenter" width="800"] David Kahi Ambuku almaarufu Peter Bwonya Okwaro (kulia) na Paul Miller Owiti...
- by adminleo
- March 14th, 2018
Mwanamke akana ulaghai wa shamba la Sh525 milioni
[caption id="attachment_2951" align="aligncenter" width="800"] Joyce Wanjiru Nderi almaarufu Mercy Nyambura Kanyara akiwa kizimbani Jumanne...
- by adminleo
- February 27th, 2018
Uhuru ategwa na wanyakuzi wa ardhi
Na MWANGI MUIRURI Kwa ufupi: Wakuu serikalini wanahakikisha wanamiliki vipande vya ardhi katika shamba la ekari 40,000 viungani...