Mmiliki wa Hoteli kukamatwa kwa ulaghai wa Sh.520Milioni

Na RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa msururu wa mahoteli ya Nyamama yaliyoko kaunti ya Nairobi jana aliagizwa akamatwe na kushtakiwa kwa...

Washukiwa 16 wakamatwa kwa kuitisha wakazi Mukuru pesa

Na SAMMY KIMATU NAIROBI WATU 16 walikamatwa kwa kushukiwa kuwatoza raia pesa kwa lazima katika mitaa ya mabanda katika kaunti ya...

Mshukiwa wa ulaghai wa mamilioni azuiwa kusafiri

Na RICHARD MUNGUTI IDARA ya Uhamiaji Jumanne iliamriwa imzuie David Kahi Ambuku kusafiri, mshukiwa aliyetoroka kesi ya upokeaji zaidi ya...

Mkurugenzi wa kampuni ya kuuza vipande vya ardhi ashtakiwa kwa ulaghai wa Sh4.5 milioni

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa kampuni moja ya kuuza vipande vya ardhi katika Kaunti ya Kiambu ameshtakiwa kwa kupokea kwa njia ya...

Imwatok ashtakiwa kwa ulaghai

By RICHARD MUNGUTI Kiongozi wa Wachache Bunge la Kaunti ya Nairobi Peter Imwatok alishtakiwa kwa kumtapeli mwanabiashara mmoja Sh2.1...

Watapeli kwa jina la Rais

Na DAVID MWERE AFISI ya Rais imelalamika vikali kwamba wanasiasa, wafanyibiashara, makatibu wa wizara na maafisa wengine wa umma...

Ndani kwa kutumia bintiye kutapeli watalii

Na BRIAN OCHARO MWANAMKE mmoja kutoka Mtwapa, Kaunti ya Kilifi anachunguzwa kwa madai ya kutumia mwanawe kutafuta riziki kwa raia wa...

Mhispania kizimbani kwa kumlaghai Mwitaliano Sh14m

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA wa kimataifa ambaye ameishi humu nchini kwa mwongo mmoja alishtakiwa Jumtatu kwa kushiriki katika...

ULAGHAI: Gakuyo alivyotumia injili kuwapunja wawekezaji

Na PETER MBURU MAELFU ya Wakenya ambao waliingia kwenye mtego wa kuwekeza katika shirika la ‘Ekeza’, walivutiwa na sura ya dini...

Vyama vya ushirika Thika vichunguzwe, asema afisa

Na LAWRENCE ONGARO AFISA mmoja kutoka Thika anaitaka serikali kuchunguza kwa makini vyama vya ushirika vinavyochipuka...

Wakurugenzi kizimbani kwa ulaghai wa shamba la Sh54 bilioni

NA RICHARD MUNGUTI WAKURUGENZI wawili wa kampuni ya ununuzi wa mashamba walishtakiwa kupokea mamilioni ya pesa wakidanganya watawauzia...

AKILIMALI: Kijana alivyotumia teknolojia kuwazima mabroka wapunjaji

NA FAUSTINE NGILA FRANCIS Odoyo alijikuna kichwa kwa muda mrefu kila alipowaona wafanyabiashara wa nyanya kutoka kaunti za Siaya, Migori...