UMBEA: Kama kweli mnapendana, hakuna kosa lisilosameheka

Na SIZARINA HAMISI NINGEPENDA nitoe angalizo, kwamba kabla hujaruka na kulaumu kwamba leo natetea wale wenye tabia za kulamba mizinga ya...

UMBEA: Penzi lina ladha ya kipekee, utamu, uchachu, uchungu na hata ukakasi kidogo

Na SIZARINA HAMISI MAISHA ni kitendawili wakati mwingine. Kwani unaweza kukutana na mtu anatembea barabarani lakini akili na mawazo...

UMBEA: Jinsi unavyoweza kuwasha moto hisia tena hadi mwenzio apagawe

Na SIZARINA HAMISI MAISHA ya ndoa yamewatumbukia nyongo wengi. Kwa wengine yamekuwa machungu mfano wa shubiri. Jambo lililonishtua ni...

UMBEA: Je, wewe ni gusa mara moja au mbio ndefu na hufiki ukingoni?

Na SIZARINA HAMISI KULE nchi jirani ya Tanzania kumeibuka gumzo siku za karibuni. Na maneno yamewalenga vijana ambao wamekuwa...

UMBEA: Wakati mwingine mbaya wako ni wewe mwenyewe!

Na SIZARINA HAMISI KUNA wale wenzangu ambao hubaki wamepigwa na butwaa mambo yanapoenda kombo. Pale wanapoandamwa na mikiki na...

UMBEA: Uvumilivu una kikomo chake, chunga usije ukala zilizooza!

Na SIZARINA HAMISI ENYI kina dada nishawahi kusema na narudia hivi; kuna wanaume wengine waacheni wapite. Waende zao kwa amani,...

UMBEA: Si kila wivu ni mbaya, wakati mwingine hujenga uhusiano kudumu

Na SIZARINA HAMISI PALIPO na upendo wa dhati, wivu pia upo. Na pale unapokosekana ni vigumu kupata wivu na mara nyingi hili ni...

UMBEA: Siku hizi makahaba hawapo tena barabarani, wapo kwenye ndoa!

Na SIZARINA HAMISI WAKATI nakua kulikuwa na tunda linaloitwa mung’unya. Tunda hili lilikuwa linaliwa likiwa changa tu, kwani...

UMBEA: Hakuna mpenzi mzuri au mbaya inategemea tu ikiwa mnafaana

Na SIZARINA HAMISI WANASEMA kawaida dunia sio mbaya, isipokuwa wanadamu ndio wabaya. Na kwa dhana hii wapo akina dada ambao daima...

UMBEA: Kile ambacho ni chako, utakipata tu hata kama kipo chini ya mlima

Na SIZARINA HAMISI MAISHA yetu huambatana na mizigo mingi tunayoibeba kiakili, kimwili na kiroho. Katika maisha ya kila siku ni...

UMBEA: Kukutana na mtu mnayeendana ni kibarua ila usivumilie mateso!

Na SIZARINA HAMISI TUMEZOEA kusikia waliopo katika uhusiano ama ndoa wakiambiwa wavumilie. Hata pale mwanandoa anapoelezea malalamiko...

UMBEA: Utandawazi usitutoe fahamu tusahau msingi wa mahusiano

Na SIZARINA HAMISI WANASEMA usione vyaelea utambue kwamba vimeundwa. Unapoona wapendanao ama wanandoa wamedumu kwenye uhusiano ama...