UMBEA: Unaweza chagua kutopendwa ila kumbuka huishi kisiwani!

Na SIZARINA HAMISI UMESHAWAHI kujikuta katika maisha ambayo umezungukwa na watu wasiokupenda? Kiasi kwamba wanajionyesha wazi katika...

UMBEA: Wengi waanguka kimapenzi katika kuchagua wenzi sahihi

Na SIZARINA HAMISI MAPENZI ni sanaa rafiki zangu. Ili uweze kuwa msanii kamili katika tasnia hiyo ni vyema kutafuta kuwa bora zaidi...

UMBEA: Penzi linapochuja, thamani yako pia huwa imechuja

Na SIZARINA HAMISI KATIKA harakati zangu za kuzungumza na watu mbalimbali, niliguswa na dada mmoja hivi majuzi. Nilikutana na dada...

UMBEA: Mwanamke unapaswa kuvaa uhusika wa kike, sio jike dume

Na SIZARINA HAMISI WANASEMA kuolewa ama kutoolewa ni majaliwa. Lakini mara nyingi zipo sababu zinazochangia kwa akina dada...

UMBEA: Mahangaiko ya nje ya ndoa hayajawahi letea mtu furaha!

Na SIZARINA WANASEMAGA hakuna mwanaume wa peke yako. Kwamba furahi naye mnapokuwa pamoja, lakini usijihakikishie kwamba akitoka huko...

UMBEA: Hakuna atakayekushikia fimbo umpende ama usimpende mtu

Na SIZARINA HAMISI MAZOEA huleta kukinai na hali hii ipo katika uhusiano, ndoa ama mapenzi. Kwamba kila afanyalo mwenzio, wewe...

UMBEA: Unavyoweza kukabili huzuni ya kuondokewa na umpendaye

Na SIZARINA HAMISI MAISHA ni safari ndefu. Katika harakati za maisha huwa tunakutana na misiba, maombolezo na wakati mwingine matukio...

UMBEA: Mke, elewa nafasi yako katika ndoa sio kujibeba kama bendera

Na SIZARINA HAMISI MKE mwenye busara huelewa mipaka. Mipaka hii inahusu wajibu kama mke, wajibu kama mama iwapo umejaliwa watoto na...

UMBEA: Eti kuna aina tatu za wanaume; mwindaji, mla mizoga na mkulima!

Na SIZARINA HAMISI NIMEDOKEZEWA kwamba kuna aina tatu kubwa za wanaume huku Uswahilini ninakoishi. Na mimi ni nani nipinge,...

UMBEA: Kumpenda mtu kwa dhati kunahitaji mbinu na mikakati

Na SIZARINA HAMISI KATIKA kipindi hiki ambacho kuna sintofahamu, kutiliana shaka na hata kutengana, ni muhimu kujenga hulka ya kujaliana...

UMBEA: Nyumba ni kwa ajili yako na mumeo, hukuolewa na ukoo!

Na SIZARINA HAMISI PURUKUSHANI na mshikemshike katika baadhi ya ndoa huchangiwa na kuchochewa zaidi na baadhi ya ndugu wa...

UMBEA: Kumjali ni sehemu kubwa katika suala la mahusiano

Na SIZARINA HAMISI UNAPOPENDWA, ukapendeka na upende ukapendwa, furaha, utulivu na amani huwa ni rafiki zako wa karibu. Wataalam wa...