Mtunza duka akana kumnajisi binti kambo

Na RICHARD MUNGUTI MSIMAMIZI wa jumba la kibiashara iliyoko kwenye barabara la Thika(TRM) amekana shtaka la kumnajisi na kumpachika...

Wanafunzi watatu wa Thika School for the Blind ni wajawazito

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kuwalinda wanafunzi walemavu hasa wasioona ili kuwaepusha na changamoto wanazopitia. Afisa mkuu wa...

Wazee waozea jela sababu ya kesi za unajisi

Na TITUS OMINDE UNAPOINGIA kwenye uwanja wa burudani wa mahabusu katika gereza kuu la Eldoret unakaribishwa na nyuso za wazee wenye umri...

Korti yakataa rufaa ya mzee aliyefungwa maisha kwa ‘kunajisi bintiye’

Na MAUREEN KAKAH MATUMAINI ya kuachiliwa huru kwa mwanamume aliyefungwa jela kwa "kusingiziwa" kunajisi binti yake, yamedidimia...

Mapasta 200 walinajisi zaidi ya watu 700 – Ripoti

MASHIRIKA Na PETER MBURU ZAIDI ya maafisa 200 wa kanisa la Southern Baptist la Amerika na watu wengine wa kujitolea wamepatikana na...

Mama ndani miaka 9 kwa kunajisi watoto wake kumfurahisha mumewe

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMKE kutoka Queensland, Australia ambaye aliwanajisi watoto wake wa kiume na kike alifungwa jela miaka tisa...

Afueni kwa mzee aliyefungwa kwa unajisi jaji kusema watoto ndio walimnajisi

MASHIRIKA Na PETER MBURU JAJI wa mahakama moja ya Marekani alimpunguzia kifungo mzee wa miaka 67 ambaye alikuwa amehukumiwa gerezani kwa...

Ndani miaka 401 kwa kunajisi watoto wa mpenziwe

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAUME mmoja ambaye aliingia nchini Marekani kwa njia haramu amefungwa jela miaka 401, baada ya kupatikana na...

Afisa wa KDF jela miaka 20 kwa kunajisi watoto wawili

Na Titus Ominde MWANAJESHI mstaafu, 59, ambaye alipatikana na hatia ya kunajisi watoto wawili wasichana wa umri wa miaka 11 na 12...

Mwanamke alilia polisi waachilie mume aliyenajisi binti yake

Na DERICK LUVEGA MWANAMKE mmoja alishangaza wakazi wa Kaunti ya Vihiga alipowalilia polisi wamwachilie mumewe aliyekamatwa na kuzuiliwa...

Shule ya Moi Girls yafunguliwa

Na WANDERI KAMAU WANAFUNZI katika Shule ya Upili ya Wasichana ya Moi, Nairobi, walirejea shuleni jana baada shule hiyo kufungwa kwa wiki...

Mwanamke ashangaza korti kusamehe madume 5 waliombaka

Na TITUS OMINDE MWANAMKE aliyekuwa amedai kubakwa na wanaume watano, Alhamisi alishangaza Mahakama ya Eldoret alipoondoa malalamiko...