USALAMA SHULENI: Kamati ya Elimu yataka CCTV ziwekwe kuzima unajisi

[caption id="attachment_7005" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kuhusu Elimu Julius Melly (kati) akiongoza...

TAHARIRI: Unajisi shuleni ukabiliwe vikali

Na MHARIRI KISA cha mwanafunzi kunajisiwa katika shule ya wasichana ya Moi jijini Nairobi ni dalili tu ya jinsi wanafunzi wanaendelea...

Walimu wachunguzwa kuhusiana na visa vya ubakaji shuleni

Na WAANDISHI WETU WIZARA ya Elimu pamoja na maafisa wa usalama wameanzisha uchunguzi dhidi ya walimu kadhaa wanaokabiliwa na shutuma za...

Mwanamke ndani miaka 15 kwa kunajisi tineja

Na RUSHDIE OUDIA KATIKA kisa kisicho cha kawaida, Mahakama ya Kisumu Jumatano ilimhukumu mwanamke wa miaka 24 kifungo kikali cha miaka...

KILIO CHA HAKI: Sababu za ubakaji kukithiri katika mitaa ya mabanda

Na BENSON MATHEKA IDADI ya kesi za unajisi wa watoto inaendelea kuongezeka katika Mahakama ya Kibera hasa kutoka mitaa ya mabanda jijini...

Wanakijiji waua mshukiwa wa unajisi

Na NDUNGU GACHANE WANAKIJIJI katika Kaunti ya Murang’a walimuua mwanafunzi wa kidato cha kwanza aliyedaiwa kumnajisi msichana wa miaka...