Shirika linavyohangaishwa na wanyakuzi wa ardhi

Na SAMMY WAWERU SHIRIKA la Mifugo Nchini (DVS) lilizinduliwa mwaka wa 1895 na serikali ya mkoloni. Uzinduzi wa taasisi hii ya kiserikali...

Kipande cha ardhi kilichokuwa kimenyakuliwa Thika charejeshwa kwa serikali

Na LAWRENCE ONGARO WANYAKUZI wa ardhi ya umma wamepewa onyo kuwa hawatasazwa na serikali. Mbunge wa Thika Bw Patrick 'Jungle' Wainaina...

Mahakama yazima mpango wa kaunti kutwaa ardhi ya umma

TOM MATOKE na WYCLIFF KIPSANG SERIKALI ya Kaunti ya Nandi imepata pigo baada ya Mahakama Kuu kusitisha nia ya utawala wa Gavana Stephen...

Wanasiasa mashuhuri miongoni mwa wanyakuzi wa ardhi Mau

JOSEPH OPENDA na GEORGE SAYAGIE VIONGOZI wa kisiasa, maafisa wa ranchi na familia za wanasiasa mashuhuri wametajwa kwenye orodha ya watu...

Mzee Moi kulipa Sh1 bilioni kwa kunyakua shamba la mjane

Na RICHARD MUNGUTI HATIMAYE haki imetendeka kwa mjane aliyenyang’anywa shamba na rais mstaafu Daniel arap Moi zaidi ya miaka 30...

Unyakuzi wa ardhi watishia kuangamiza makavazi na turathi

NA KALUME KAZUNGU   MAKAVAZI na turathi nyingi za kitaifa ambazo ni vivutio vikuu vya watalii kaunti ya Lamu ziko kwenye...

Lonyangapuo awataka walionyakua ardhi ya umma wairejeshe upesi

Na OSCAR KAKAI GAVANA wa Pokot Magharibi, Prof John Lonyangapuo ameaonya vikali wanyakuzi wa ardhi na wanaohusika na ufisadi katika...

UNYAKUZI WA ARDHI: Mayatima waililia serikali ya Kiambu iwasaidie kumiliki ardhi

Na CHARLES WASONGA KWA muda wa miaka miwili sasa vijana wawili mayatima kutoka eneo bunge la Kikuyu, kaunti ya Kiambu wamekuwa wakiishi...

Maandamano ya wakazi kupinga kanisa ‘kunyakua’ shamba

Na PETER MBURU MAKUMI ya wakazi wa kijiji kimoja kutoka eneo la Subukia kaunti ya Nakuru Jumapili walitekeleza maandamano ya amani,...

Matiba alirudisha shamba alilonyakua kujenga shule, mahakama yaambiwa

Na RICHARD MUNGUTI MENEJA mkuu wa kampuni ya Muchanga Investment Limited (MIL) Bw Dimitri Da Gama Rose aliambia mahakama kuu Alhamisi...

Chanzo cha uskwota Pwani ni unyakuzi wa ardhi – Ripoti

[caption id="attachment_1795" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Dkt Muhammad Swazuri. Picha/...