Bunge lamtaka Mwende kuasi uraia wa Amerika

Na CHARLES WASONGA BUNGE la Kitaifa Alhamisi jioni lilipitisha ripoti iliyowasilishwa na Kamati ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni...

Raia wa Kenya na Amerika ajitetea kuteuliwa balozi Korea Kusini

Na CHARLES WASONGA MWANADIPLOMAISA Bi Mwende Mwinzi Jumanne alikabiliwa na wakati mgumu kuwashawishi wabunge kwamba anahitimu kuhudumu...

MIGUNA MIGUNA: Ajipiga kifua kisha kukunja mkia na kusalia Canada

Na WYCLIFFE MUIA MWANASIASA na wakili mbishi aliyefurushwa nchini, Dkt Miguna Miguna alikunja mkia kuhusu kurejea Kenya Jumatano licha...

Miguna aapa kurejea nchini hapo Mei 16

Na WYCLIFFE MUIA WAKILI Dkt Miguna Miguna anakusudia kurejea nchini mwezi huu japo haijabainika iwapo serikali ya Kenya imemrudishia...

Mtoto azaliwa miaka minne baada ya wazazi wake kuangamia ajalini

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA MIAKA minne baada ya mke na mume kufariki gari lao lilipohusika katika ajali, mtoto wao alizaliwa na mama...

Canada yaitaka Kenya itoe sababu ya kumfurusha Miguna tena

Na MWANDISHI WETU SERIKALI ya Canada imeitaka Kenya kuwasilisha maelezo kirasmi kwa nini wakili Miguna Miguna alitimuliwa nchini kwa...

Siwezi kujaza fomu za uraia, afoka Miguna Miguna

Na STELLA CHERONO na BENSON MATHEKA WAKILI mbishi Dkt Miguna Miguna anaendelea kuzuiliwa katika uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa  Jomo...