Usalama: Wakuu wahakikishia raia

Na KNA KAMATI ya usalama katika Kaunti ya Mombasa, imehakikishia wakazi na wawekezaji kuwa kuna mipango ya kutosha ya ulinzi...

Ukosefu wa usalama umezima maendeleo, wakazi walalamika

Na OSCAR KAKAI Wakazi katika eneo la Chesegon kwenye mpaka wa Kaunti za Pokot Magharibi na Elgeyo Marakwet wameitaka serikali kutatua...

Serikali yakiri kudaiwa Sh16m za usalama wa baharini

Na WINNIE ATIENO SERIKALI imeungama kudaiwa Sh16 milioni na kampuni ya Ufaransa ambayo hutoa huduma za usalama wa baharini. Waziri wa...

Matiang’i aahidi kukomesha utekaji nyara nchini

Na NDUNGI MAINGI Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i, ameahidi kukabiliana na visa vya utekaji nyara ambavyo vimeongezeka...

Usalama waimarishwa katika mpaka wa Kenya na Somalia watahiniwa wakifanya KCPE

Na KALUME KAZUNGU SERIKALI imeimarisha usalama kwenye mpaka wa Kenya na Somalia wakati huu ambapo mtihani wa kitaifa wa Darasa la Nane...

Maeneo hatari kwa usalama Mathare yaorodheshwa

Na SAMMY KIMATU MATHARE OFISA mmoja katika kaunti ya Nairobi ametaja maeneo hatari kwa usalama usiku na mchana kwa wanaotembea kwa...

Kwa kila tone la mvua, wakazi wahofia usalama wao

NA PAULINE ONGAJI Ni picha inayonata macho pindi unapofika eneo la Shamakhokho kwenye makutano ya barabara za Serem na Hamisi. Nyumba ya...

Matiang’i apotosha kuhusu uhalifu

Na WANDISHI WETU WATU kadhaa nchini wanauguza majeraha waliyopata mkesha wa Krisimasi licha ya Waziri wa Usalama, Fred Matiang’i...

Kenya yapata kiti muhimu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

NA AGGREY MUTAMBO KENYA imepata kiti muhimu cha uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuishinda...

WAJIR: Kutoaminiana baina ya vikosi vya usalama na wakazi wa Khorof Harar kunahujumu usalama

Na FARHIYA HUSSEIN SUALA la kutoaminiana baina ya vikosi vya usalama na wakazi wa Khorof Harar katika Kaunti ya Wajir limeonekana kama...

Agizo magari Kaskazini yasisafiri bila ya polisi

JACOB WALTER, MERCY MWENDE na MANASE OTSIALO SERIKALI imeamuru kwamba magari yote ya umma yanayotoka au kuelekea Kaskazini Mashariki...

Hali ya usalama yazorota kijijini Kwambira, Limuru

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kwambira mjini Limuru wanataka usalama uimarishwe haraka iwezekanavyo. Wakazi hao wanasema...