Nike yafika mahakamani kushtaki kampuni kuhusu ‘viatu vya kishetani’

Na MARY WANGARI KAMPUNI ya kutengeneza viatu vya wanariadha, Nike Inc, mnamo Jumanne, Machi 30, 2021, ilishtaki kampuni moja ya New...

Mhubiri adai amemuua shetani

MASHIRIKA Na PETER MBURU MHUBIRI mtatanishi kutoka Afrika Kusini Paseka Motsoeneng ambaye anajulikana sana kama Nabii Mboro ameibuka na...

MUGO WA WAIRIMU: Daktari kutoka kuzimu

Na WAANDISHI WETU ‘DAKTARI’ bandia Mugo wa Wairimu, ambaye alishtakiwa miaka mitatu iliyopita kwa kuhusika katika visa vya uhalifu...

Madereva wasimulia kukutana na jini jike

Na VICTORIA NDUVA Kyumbi, Machakos Madereva wanaotumia barabara kuu ya Nairobi kwenda Mombasa wanataka viongozi wa kanisa kuwaokoa...

Wanafunzi wengi huabudu shetani nchini – Maaskofu

Na Titus Ominde MAASKOFU wawili wamedai kuwa kuna ibada za shetani nchini hasa miongoni mwa wanafunzi. Maskofu hao ambao ni askofu...

Binti mwenye ‘nguvu za kishetani’ afukuzwa shuleni

Na VIVERE NANDIEMO MSICHANA mwenye umri wa miaka 13 katika eneo la Suna Magharibi, Kaunti ya Migori, anataabika baada ya kufukuzwa...

Raila aapa kushtaki Facebook na Cambridge Analytica kwa ‘ushetani’ zilizomfanyia uchaguzini

Na WYCLIFFE MUIA KINARA wa upinzani Raila Odinga Jumanne alisema ataushtaki mtandao wa Facebook pamoja na kampuni ya Cambridge Analytica...