Raila akosoa ushuru wa juu unaotozwa wawekezaji

Na WANDERI KAMAU KIONGOZI wa ODM, Bw Raila Odinga, amekosoa kiwango cha juu cha ushuru kinachotozwa na serikali akisema kinawaumiza...

Suluhu azima nyongeza ya ushuru, Wakenya wazidi kuumia

Na PAUL OWERE RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameionya Mamlaka ya Ushuru (TRA), dhidi ya kupandisha ushuru.Rais Suluhu alisema...

TAHARIRI: Kurudisha kodi ni pigo kwa Wakenya

NA MHARIRI HATUA ya serikali ya kupunguza kodi za bidhaa (VAT) na mapato (PAYE) na ushuru kwa kampuni mnamo Aprili mwaka huu iliwafaidi...

Uhuru awaruka Wakenya kuhusu ushuru nafuu

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatatu aliruka ahadi yake kwa Wakenya kuwa ushuru wa VAT ungesalia asilimia 14 hadi Juni 30...

KRA yasema itaendelea kukusanya ushuru licha ya Bunge kufuta sheria 23

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) imefafanua kuwa itaendelea kukusanya ushuru kwa kutumia sheria...

KRA kuzindua mfumo mpya wa kodi Nairobi

Na COLLINS OMULO MAMLAKA ya Ushuru Nchini (KRA) itaanzisha mfumo mpya kiteknolojia utakaotumika katika ukusanyaji mapato ya Kaunti ya...

WANGARI: Kenya isitoze kodi tasnia za kidijitali ili kuinua biashara

Na MARY WANGARI HUKU biashara na mashirika mbalimbali yakikumbatia mifumo ya kidijitali katika utekelezaji wa shughuli zao kutokana na...

Wabunge wakataa ushuru kwa pensheni

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wameondoa pendekezo kwenye Mswada wa Fedha wa mwaka wa 2020 lililohitaji kutoza ushuru malipo ya uzeeni...

COVID-19: Rais Kenyatta atia saini mswada wa kupunguza ushuru

Na CHARLES WASONGA SASA ni rasmi kuwa waajiriwa wanaopokea mshahara usiozidi Sh24,000 kila mwezi hawatatozwa ushuru wowote na wale...

TAHARIRI: Ushuru huu mpya utawaathiri wengi

Na MHARIRI MWAKA mpya unapong’oa nanga, Mkenya anajipata katika njia panda kuhusiana na jinsi anavyoendelea kuchangia ustawi wa taifa...

Sababu ya KRA kuwaandama washukiwa wa ukwepaji ushuru

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) imeimarisha juhudi zake za kupambana na wafanyabiashara wanaokwepa ushuru...

NYS: Polisi ashtakiwa kwa kutolipa ushuru kwa KRA

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi aliyelipwa mamilioni ya pesa na Shirika la Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) baada ya kutoa huduma...