Moroto apendekeza KRA ikusanye ushuru katika kaunti

Na OSCAR KAKAI MBUNGE wa Kapenguria Bw Samuel Moroto ametoa wito kwa halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini (KRA) ichukue jukumu la...

Mfanyabiashara wa Mombasa anaswa kwa kukwepa ushuru

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) na Idara ya Upelekezi wa Jinai (DCI) Ijumaa zimeendeleza operesheni za...

Kinaya Sportpesa kutuzwa na serikali kisha kuzimwa

Na VALENTINE OBARA NIA halisi ya serikali kupiga marufuku kampuni za uchezaji kamari nchini, imeanza kutiliwa shaka kutokana na maelezo...

Hatimaye Bamburi yailipa KRA ushuru wa Sh332 milioni

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya saruji ya Bamburi imeilipa Mamlaka ya Kukusanya Ushuru (KRA) mamilioni baada kuzozana kwa miaka mingi...

KRA yamulika wafanyabiashara wa mitandaoni

Na CHARLES WASONGA MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru Nchini (KRA) imetaka wafanyabiashara wanaondesha shughuli zao mitandaoni kulipa ushuru...

Wakurugenzi wa Platinum Distillers washtakiwa kukwepa kulipa ushuru

Na RICHARD MUNGUTI WAKURUGENZI wanne wa kampuni inayotengeneza mvinyo mjini Ruiru, Kiambu iliyofungwa Februari wameshtakiwa kwa kukwepa...

TAHARIRI: Nyongeza ya ushuru iwafae Wakenya

NA MHARIRI MAMLAKA ya Ushuru Nchini (KRA) imetoa mapendekezo mapya yanayolenga kuwatoza Wakenya ushuru zaidi pamoja na kuweka mikakati...

Uhuru ataka mfumo mmoja wa ukusanyaji mapato na ushuru

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amezitaka Tume ya Ugavi wa Mapato (CRA), Baraza la Magavana Nchini (CoG) na Mamlaka ya Ukusanyaji...

Kizimbani kwa kukwepa ushuru wa Sh97 milioni

Na BERNARDINE MUTANU Mamlaka ya Kukusanya Ushuru nchini (KRA) ilimshtaki ajenti mmoja wa forodhani kwa kukwepa kulipa ushuru wa thamani...

Lipa ushuru namna unavyomwaga pesa, Mudavadi amwambia Ruto

Na PETER MBURU UHASAMA wa kisiasa baina ya kiongozi ANC Musalia Mudavadi na naibu wa Rais William Ruto umezidi kutokota baada ya Bw...

Wakurugenzi washtakiwa kukwepa kulipa ushuru wa Sh3 bilioni

Na RICHARD MUNGUTI WAKURUGENZI wawili wa kampuni moja wameshtakiwa kwa kukataa kulipa ushuru wa zaidi ya Sh3.2bilioni miaka miwili...

Teknolojia mpya kunasa wakwepaji ushuru

Na BERNARDINE MUTANU Walipaji ushuru watafuatwa hata ndani ya nyumba zao katika hatua mpya ya kuwapata wakwepaji ushuru. KRA sasa imeanza...