LEONARD ONYANGO: Siku ya Utamaduni ilifaa kuadhimishwa kipekee

Na LEONARD ONYANGO HATUA ya serikali kutangaza Oktoba 10 kuwa Siku ya Utamaduni bila kuandaa maadhimisho ya kitaifa, ni kazi...

Kenya kuadhimisha Siku ya Utamaduni

Na WINNIE ONYANDO SERIKALI imetangaza Jumatatu kuwa siku ya mapumziko, Kenya ikiadhimisha kwa mara ya kwanza Siku ya Utamaduni Oktoba...

Wamaragoli wanaoishi Uganda watarajiwa kutambuliwa rasmi

Na BAMUTURAKI MUSINGUZI BAADA ya miongo kadhaa ya kuishi vivulini katika taifa ambalo wamelifahamu kama nyumbani, wanajamii wa Maragoli,...

Uchumi, sanaa na desturi za kabila la Wadigo uswahilini

NA HAWA ALI Zaidi ya kuwa Wadigo wengi huishi katika katika Mkoa wa Tanga, hasa kwenye mji wa Tanga, wako Kenya wanakoishi upande wa...

Wazee Kisumu wataka serikali iwarejeshee joka lao la Omieri

Na ELIZABETH OJINA WAZEE kutoka eneobunge la Nyakach, Kaunti ya Kisumu sasa wanataka serikali irejeshe mabaki ya joka maarufu tena la...

‘Firirinda’ yapata umaarufu wa kipekee lakini mtunzi amesalia maskini

SIMON CIURI NA WANGU KANURI Mshairi wa mapenzi, Percy Bysshe Shelley, katika shairi lake 'To a Skylark,' lililochapishwa mwaka wa 1820...

Usiwatambue Wapemba kwa vilemba pekee, wana sifa nyingine tumbi nzima

Na HAWA ALI PEMBA ni kisiwa kilichoko pembezoni mwa mwambao wa pwani ya Afrika Mashariki; kwenye bahari ya Hindi. Kisiwa hiki ni cha...

Usasa ulivyoyeyusha utamaduni wa Ameru

NA WACHIRA ELISHAPAN Jamii nyingi humu nchini zimekumbatia usasa wa mabara Amerika na Ulaya ambao kulingana na wazee wa jamii ya Ameru...

Seneta Ledama Ole Kina aruhusiwa kuvaa mavazi ya kimaasai bungeni

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Seneti Kenneth Lusaka ametoa uamuzi kwamba maseneta wanaruhusiwa kuvalia mavazi ya kitamaduni...

Wachonyi walia mradi wa utamaduni kucheleweshwa

Na MAUREEN ONGALA  KWA umbali unapokaribia ofisi ya Naibu Kamishina wa Chonyi iliyo katika kata ya Bandarasalama eneo bunge la Kilifi...

Pigo kwa Wabukusu tohara ikiahirishwa

Na BRIAN OJAMAA UTAKUWA mwaka wa kusahau kwa wakazi wa magharibi hasa jamii-ndogo ya Wabukusu kwani utamaduni wanaouthamini sana wa...

Corona ilivyobadilisha mila za Wabukusu

NA HOSEA NAMACHANJA  Kabila la Wabukusu ni mojawapo ya makabila ya jamii ya Waluhya inayopatikana magharibi mwa Kenya. Kabila hili...