KeMU kuuza jengo lake ili kujiimarisha kifedha

Na OUMA WANZALA CHUO Kikuu cha Kenya Methodist (KeMU) kimetangaza hatua ya kuuza mojawapo ya majengo yake jijini Nairobi, katika mkakati...