Wanyama aongoza klabu kutwaa ubingwa Canada

Na JOHN ASHIHUNDU Aliyekuwa nahodha wa Harambee Stars, Victor Wanyama ameweka historia nchini Canada baada ya kusaidia klabu yake ya CF...

Kiungo wa CF Montreal Wanyama hatimaye apata mtoto wa kwanza

Na GEOFFREY ANENE KIUNGO Mkenya Victor Mugubi Wanyama, 30, na mpenzi wake Serah Ndanu Teshna, 33, wamefichua kuwa wamepata mtoto wao wa...

Montreal yanufaika na kadi nyekundu aliyoonyeshwa Noble Okelo kuliza Toronto ligini

Na GEOFFREY ANENE CF Montreal anayochezea Mkenya Victor Wanyama imedumisha rekodi ya kutoshindwa hadi mechi nne kwenye Ligi Kuu ya...

Montreal yadumisha rekodi ya kutoshindwa MLS hadi mechi nne, imezima Inter Miami

Na GEOFFREY ANENE CF Montreal anayochezea kiungo Mkenya Victor Wanyama imedumisha rekodi ya kutoshindwa hadi mechi nne kwenye Ligi uu ya...

Wanyama kuwania tuzo ya Mchezaji Mpya Amerika na Canada

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Victor Mugubi Wanyama ametiwa katika orodha ya wawaniaji wa tuzo za Ligi Kuu ya Amerika na Canada (MLS) katika...

Montreal Impact ya Wanyama yalipiza kisasi dhidi ya Toronto

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Victor Wanyama alisaidia timu yake ya Montreal Impact kuzoa alama tatu muhimu katika ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...

Olunga, Johanna na Wanyama wafurahisha waajiri wao katika soka ya majuu

Na CHRIS ADUNGO NYOTA wa Harambee Stars, Eric Johanna, Victor Wanyama na Michael Olunga walitambisha vikosi vyao katika soka ya...

Wanyama ataka FKF ishauriane na FIFA kuhusu Amrouche

Na CHRIS ADUNGO NAHODHA wa Harambee Stars na kiungo wa zamani wa Tottenham Hotspur, Victor Wanyama, amelisihi Shirikisho la Soka la...

Mwanya kwa Wanyama kutesa akiwajibikia Spurs wajitokeza

Na MWANDISHI WETU VICTOR Wanyama huenda akanufaika kutokana na marufuku ya wachezaji Harry Winks na Moussa Sissoko kupangwa na Jose...

Huenda Wanyama akayoyomea China

Na GEOFFREY ANENE NYOTA Victor Mugubi Wanyama huenda akawa Mkenya wa tatu kusakata soka yake ya malipo nchini Uchina baada ya tetesi...

Mashabiki wa Spurs wamlia Mourinho kumchezesha Wanyama

Na GEOFFREY ANENE Mashabiki wa Tottenham Hotspur wamemlia Jose Mourinho kwa kuchezesha kiungo Mkenya Victor Mugubi Wanyama badala ya...

Wanyama, Olunga kupiga jeki kikosi cha Stars Misri

Na CHRIS ADUNGO KUNDI la mwisho la wachezaji wa Harambee Stars wanaosakata kabumbu ya kulipwa ughaibuni, linatarajiwa kuwasili leo...