Vizingiti katika uhamisho wa Wanyama kutoka Spurs hadi Club Brugge

Na GEOFFREY ANENE BAADA ya tetesi kuwa Victor Wanyama anajiunga na miamba wa Uturuki Galatasaray kuzima kabisa na pia klabu za nchini...

WANYAMA: Ni kama mazungumzo baina ya Galatasaray na Spurs hayajapiga hatua

Na GEOFFREY ANENE na MASHIRIKA HUKU Wakenya wakiendelea kukesha kujua nyota wao Victor Wanyama atasalia jijini London ama ataelekea...

Afisa wa Galatasaray kuzungumza na Spurs kuhusu Wanyama

Na GEOFFREY ANENE SIKU nne baada ya kipindi kirefu cha uhamisho nchini Uingereza kufungwa Agosti 9, ripoti kutoka nchini Uturuki...

Je, wanyama atajiunga na Wolverhampton Wanderers?

Na GEOFFREY ANENE KLABU ya Wolverhampton Wanderers inapigiwa upatu kuvua Mkenya Victor Wanyama kutoka Tottenham Hotspur katika siku ya...

Fenerbahce pazuri kutwaa huduma za Wanyama

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA mara 19 wa Ligi Kuu ya Uturuki, Fenerbahce wameingia sokoni kutafuta kiungo mkabaji na sasa wanasemekana...

Wanyama alishwe benchi, mashabiki washauri

Na GEOFFREY ANENE MASHABIKI wa Harambee Stars wanataka nahodha Victor Wanyama atupwe kwenye benchi Kenya itakapokutana na Taifa Stars ya...

Huenda Victor Wanyama akaondoka Spurs

Na GEOFFREY ANENE MATUMAINI ya Mkenya Victor Wanyama kumaliza kandarasi yake na Tottenham Hotspur mnamo Juni 30 mwaka 2021 yanazidi kuwa...

Bao tamu la Wanyama lachangamsha mitandao

Na GEOFFREY ANENE VICTOR Wanyama alifunga bao safi na kufungulia timu yake ya Tottenham Hotspur milango ya kuangamiza Huddersfield 4-0...

Jeraha lilivyoua makali ya Victor Wanyama

Na GEOFFREY ANENE VICTOR Wanyama alikaribishwa ulingoni kwa kichapo baada ya klabu yake ya Tottenham Hotspur kupoteza 2-0 dhidi ya...

Harambe Stars kujaribu kuiuma Ghana bila Wanyama

Na Geoffrey Anene SASA ni rasmi Harambee Stars ya Kenya itaingia katika vita vya kufuzu kushiriki Kombe la Afrika (AFCON) mwaka 2019 dhidi...