ULIMBWENDE: Unachotakiwa kufahamu kabla ya kutumia vipodozi, marashi

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com AGHALABU watu wengi wana mazoea ya kutumia marashi na vipodozi mbalimbali katika ngozi...

BI TAIFA JANUARI 25, 2021

DAMARIS Wangoi, 23, kutoka Nakuru ndiye anatupambia ukurasa leo. Yeye ni mjuzi wa masuala ya vipodozi. Uraibu wake ni kutazama filamu za...

Polisi vidosho sasa marufuku kuvaa wigi

Na NICHOLSA KOMU MAAFISA wa kike wa polisi watalazimika kuenda saluni ili kuondoa wigi zao za kuvutia punde sherehe za Krismasi na Mwaka...

ULIMBWENDE: Epuka matumizi holela ya vipodozi

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com USIPOVITUMIA vipodozi jinsi ipasavyo, unaweza ukapata madhara mengi; tena...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Vipodozi vyarembesha ila pia hatari kwa mazingira

Na LEONARD ONYANGO IKIWA ungali unadhani kwamba kujipodoa ni kwa akina dada tu, basi hujatembea mijini. Katika miaka ya hivi karibuni...

Marashi ya wanawake yatajwa kiini cha maradhi ya watoto

Na DIANA MUTHEU WATAALAMU wa afya wamewaonya akina mama dhidi ya kutumia mafuta na marashi yenye harufu kali kwani yanachangia maradhi...

Mafuta ya kubadili rangi ya ngozi yaondolewa madukani Rwanda

MASHIRIKA na PETER MBURU SERIKALI ya Rwanda imeanza kutekeleza marufuku kwa bidhaa za mafuta na sabuni za kubadili rangi ya ngozi, baada...

UREMBO: Jinsi ya kujipaka vipodozi msimu wa baridi

Na PAULINE ONGAJI Msimu wa baridi umebisha na kama kawaida sharti mtindo wa maisha kidogo ubadilike. Mapambo pia hayajasazwa kwani...

Madeni ya vipodozi yamaliza ndoa yake

Na TOBBIE WEKESA SHANZU, MOMBASA Kioja kilizuka eneo hili baada ya polo kumtimua mkewe alipogundua kwamba alikuwa na madeni mengi ya...