Familia yakabiliwa na mzigo wa kulipia upasuaji wa binti yao

Na PETER MBURU Kwa Muhtasari: Babake Jane Wacuka, aliamua kumgawia sehemu ya ini lake asimwone akiteseka tena Familia hiyo...