Washirika wa Ruto Mlimani wamtetea Waiguru

DPPS na BENSON MATHEKA WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto kutoka eneo la Mlima Kenya sasa wamemtetea Gavana wa Kirinyaga, Anne...

Waiguru ateuliwa kati ya wanawake 100 bora bara Afrika

Na KENYA NEWS AGENCY GAVANA wa Kirinyaga, Jumatatu aliteuliwa na Kituo cha Habari cha Avance kati ya wanawake 100 bora wenye ushawishi...

Waiguru alia kuhangaishwa tena na EACC

Na WANDERI KAMAU GAVANA Anne Waiguru wa Kiringaga amedai kuwa ameanza kuhangaishwa na washindani wake kisiasa baada ya kusema...

Nilishtuka mno kuamshwa na watu wakisaka ushahidi kwa nyumba yangu – Waiguru

Na MARY WANGARI Gavana wa Kaunti ya Kirinyaga Anne Waiguru yamkini amekerwa baada ya makachero wa EACC kuvamia makao na afisi yake...

Viongozi wa kidini waombea Waiguru na madiwani wapatane

Na GEORGE MUNENE VIONGOZI wa kidini sasa wameamua kuombea Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru na madiwani wa kaunti hiyo ili wamalize mzozo...

Waiguru sasa adai Kibicho ndiye chanzo cha masaibu yake

Na WANDERI KAMAU MZOZO wa kisiasa katika Kaunti ya Kirinyaga jana ulizidi kutokota, baada ya Gavana Anne Waiguru kudai kuwa Katibu...

Upatanisho wa Waiguru na MCAs watatizika

GEORGE MUNENE na KENNEDY KIMANTHI JUHUDI za kupatanisha Gavana Anne Waiguru na wawakilishi wa Bunge la Kaunti ya Kirinyaga zilipata pigo...

Waiguru atarajia maseneta ‘kumtendea haki’

CHARLES WASONGA na GEORGE MUNENE HATIMAYE Gavana wa Kirinyaga, Bi Anne Waiguru amezungumzia masaibu yanayomkabili akielezea matumaini...

Mivutano ya UhuRaila, Tangatanga kuwanyima haki watu wa Kirinyaga

Na CHARLES WASONGA MCHAKATO wa kuchunguza madai yaliyotolewa dhidi ya Gavana Anne Waiguru na madiwani wa Kirinyaga wanaotaka abanduke...

Hatima ya Waiguru kujulikana Juni 26

Na CHARLES WASONGA HATIMA ya Gavana wa Kirinyaga Anne Mumbi Waiguru sasa itajulikana Ijumaa wiki ijayo Juni 26 kamati maalum...

Madiwani waapa kupambana na Gavana Waiguru

Na WAANDISHI WETU UAMUZI wa maseneta kuunda kamati maalumu ya kuamua hatima ya Gavana wa Kirinyaga, Bi Anne Waiguru, umeibua hasira...

Seneta Malala kusimamia mchakato wa kumtetea Waiguru Seneti

IBRAHIM ORUKO Seneta wa Kakamega Cleophas Malala alichaguliwa kuwa katibu wa wanakamati 11 watakao chunguza kung'olewa mamlakani kwa...