Ishara zote zaonyesha Waiguru ataepuka balaa

CHARLES WASONGA na VALENTINE OBARA WANDANI wa Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, Jumanne walionyesha ishara za nia...

Sura mbili za Raila kuhusu masaibu ya Waiguru

Na WAANDISHI WETU MCHAKATO wa kuamua hatima ya Gavana Anne Waiguru unapoanza leo katika bunge la seneti, macho yote yanaelekezwa kwa...

Waiguru alivyoingiza Raila ‘boksi’

Na CHARLES LWANGA CHAMA cha ODM kinachoongozwa na Bw Raila Odinga, kimesema kuwa kitasimama kidete kumtetea Gavana wa Kirinyaga, Anne...

Madiwani wa Kirinyaga walifuata sheria kumng’oa Waiguru – Korti

NA MAUREEN KAKAH Maakama Kuu imetupilia mbali ombi la Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru la kutaka kutupiliwa mbali kung’atuliwa kwake...

Hatima ya Waiguru ni seneti lakini yeye afika mahakamani kupinga kuondolewa kwake

SAMMY WAWERU na MAUREEN KAKAH SPIKA wa bunge la seneti Ken Lusaka amethibitisha Jumatano kwamba amepokea barua ikielezea hoja ya...

Viongozi wanawake wamtetea Waiguru

CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU VIONGOZI wanawake wamemtetea Gavana Anne Waiguru saa chache baada ya hoja ya kumwondoa afisini...

Waiguru afika kortini kupinga kutimuliwa kwake

NA MAUREEN KAKAH Gavana wa Kaunti ya Kirinyaga Anne Waiguru ameenda kortini kusimamisha kung’olewa kwake mamlakani na madiwani wa...

Madiwani walivyopigana wakizozania kumng’oa Waiguru

NA GEORGE MUNENE Purukushani ilizuka kati ya madiwani katika bunge la Kaunti ya Kirinyaga Jumanne wakati mjadala wa kumng'oa mamlakani...

Waiguru akataa kuidhinisha fedha za ziada kwa bajeti ya corona

NA GEORGE MUNENE Gavana wa Kaunti ya Kirinyanga Ann Wainguru amekataa kuidhinisha mabadiliko yaliyowekwa kwenye bajeti ya kukabiliana na...

Waiguru alalama wapinzani wake wanamhujumu

WANDERI KAMAU na GEORGE MUNENE GAVANA Anne Waiguru wa Kirinyaga, amejitetea vikali kuhusu utendakazi wake, akiwalaumu mahasimu na...

CORONA: Waiguru aponea kung’atuliwa mamlakani

Maureen Kakah na George Munene GAVANA Anne Waiguru wa Kirinyaga, Jumanne alipata afueni baada ya mahakama kusimamisha kwa muda...

Huenda Waiguru akang’olewa mamlakani

NA GEORGE MUNENE GAVANA wa Kirinyaga Bi Anne Waiguru huenda akang’atuliwa mamlakani baada ya notisi ya kupiga kura ya kutokuwa na...