DOUGLAS MUTUA: Tuwasitiri na tuwapende wakimbizi wa Afghanistan

Na DOUGLAS MUTUA TANGU hapo mcheka kilema hafi kabla hakijamfika. Ni tahadhari ya wahenga, lakini Mkenya ana mazoea ya kuipuuza. Juzi...

NGILA: Teknolojia itumiwe kuwapa tumaini watoto wa wakimbizi

NA FAUSTINE NGILA WIKI iliyopita Mfumo wa Kimataifa wa Miungano ya Mawasiliano (GSMA) na kampuni ya mawasiliano ya Vodafone...

UNHCR yapinga hatua ya TZ kutimua wakimbizi wa Burundi

Na AFP WAKIMBIZI 200,000 kutoka Burundi wamepewa makataa ya mwezi mmoja kuondoka Tanzania la sivyo watarejeshwa kwao kwa...

Shirika lataka IDP bandia waliopokea fidia wachunguzwe

 Na GERALD BWISA KUNDI linalopigania masilahi ya Wakimbizi wa Ndani kwa Ndani maarufu  kama IDPs wanaitaka Idara ya Uchunguzi wa...

Wakimbizi 400 waliohepa Al-Shabaab wazidi kuishi kambini

NA KALUME KAZUNGU ZAIDI ya wakimbizi 400 waliotoroka ghasia za Al-Shabaab Kaunti ya Lamu bado wanaendelea kuishi kwenye kambi ya wakimbizi...

Tanzania kujitoa katika mpango wa UN kuwapa wakimbizi uraia

[caption id="attachment_1282" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Bw John Pombe Magufuli. Picha/...