UFISADI: Wazito sasa wafinywa

JOSEPH WANGUI na RICHARD MUNGUTI VITA dhidi ya ufisadi vimeanza kuzaa matunda kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya huku watu...

Familia ya Waluke yaomba Wakenya wamchangie faini

Na MWANDISHI WETU FAMILIA ya Mbunge wa Sirisia, John Waluke sasa inaomba msaada kutoka kwa umma ili kulipa faini itakayomwezesha...

Waluke amwomba Tuju msamaha

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Sirisia, John Waluke ameomba msamaha kwa Katibu Mkuu wa chama cha Jubilee, Raphael Tuju kwa kutumia maneno...

EACC yapewa fursa ya mwisho kuwakamata Wakhungu na Waluke

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya kuamua kesi za ufisadi (ACC) Jumatano iliipa Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini (EACC) fursa ya mwisho...

Wabunge wapinga kampeni kuunganisha jamii ya Abaluhya

Na CHARLES WASONGA WABUNGE watatu kutoka Magharibi mwa Kenya wamepinga kampeni za kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford...