Wazee wakemea viongozi kunyamazia mzozo wa bahari

Na MAUREEN ONGALA WAZEE wa Kaya wanaotoka jamii ya Mijikenda na viongozi wa kidini wamewakashifu wanasiasa kutoka Pwani kutokana na...

CECIL ODONGO: Ushawishi wa mabaraza ya wazee kwenye mizani

Na CECIL ODONGO MABARAZA ya wazee wa jamii yaliheshimiwa sana miaka ya zamani yalipotoa mielekeo ya kisiasa; lakini sasa hayana sifa...

Wazee wakemea matamshi ya chuki

Na Oscar Kakai BARAZA la wazee wa jamii ya Kalenjin (Myoot) limetadharisha wanasiasa wa mirengo ya Kieleweke na Tangatanga dhidi ya...

Hisia mseto baada ya Wazee wa Agikuyu kumtembelea Raila, Bondo

NA WAANDISHI WETU BARAZA la Wazee wa Jamii ya Agikuyu limekana madai kuwa limemwidhinisha kiongozi wa ODM Raila Odinga kama mgombeaji wa...

Masaibu yamsukuma kuishi kwa nyumba ya wazee

Na DIANA MUTHEU KAWAIDA mtu yeyote anaposikia kuhusu nyumba ya wazee, kitu cha kwanza kitakachomjia akilini ni picha ya watu wakongwe...

Changamoto kuzuia wazee katika ibada

Na BENSON MATHEKA UAMUZI wa serikali kwamba wazee wa zaidi ya umri wa miaka 58 wasikubaliwe kuingia katika maeneo ya ibada umeacha...

Wazee wamlaani gavana kuzuia mbunge kuwapa chakula

Na TITUS OMINDE WAKONGWE wanaoishi katika mitaa ya mabanda katika Kaunti ya Uasin Gishu wamemshtumu Gavana Jackson Mandago kwa madai ya...

Wazee wataka mitishamba itumike kutibu corona

MAUREEN ONGALA na FLORAH KOECH WAZEE wa Kaya katika eneo la Pwani, wanaitaka serikali ijaribu kutibu virusi vya corona kupitia...

Gavana Mandago apiga marufuku wazee kuingia mijini

TITUS OMINDE na SAMUEL BAYA GAVANA wa Uasin Gishu, Jackson Mandago amepiga marufuku wazee kuzuru sehemu za miji katika kaunti hiyo hadi...

Msitumie mavazi yetu asili kiholela – Wazee wa Agikuyu

Na MACHARIA MWANGI WAZEE wa jamii ya Agikuyu wameghadhabishwa na tabia ya baadhi ya wanasiasa kuvaa mavazi ya kitamaduni ya jamii hiyo...

Wazee walia kunyimwa hela za uzeeni

NA KALUME KAZUNGU WAZEE kutoka vijiji vilivyoko ndani ya msitu wa Boni na vile vya mpakani mwa Kenya na Somalia wameilalamikia serikali...

Wazee mnaovuta bangi mnachangia vijana kupotoka – kamishna

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya wazee kuwa kielelezo kwa vijana ili waweze kuiga mfano wao. Hayo yalitajwa na Naibu Kamishna wa Thika...