ONYANGO: Fedha za wazee ziongezwe kukabiliana na makali ya njaa

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI imeanza shughuli ya kuondoa ‘walaghai’ ambao wamekuwa wakipokea Sh2,000 ambazo hutolewa kwa wazee wa...

KOIGARO FALLS: Eneo wazee wa Kalenjin walikuwa wanajirusha kwa kuamini ‘kifo kimewasahau’

NA RICHARD MAOSI MLIMA wa Koigaro Falls katika eneo la Biribiriet, Kaunti ya Nandi, unasifika kutokana na historia yake ndefu, ya...

Maafisa watakiwa kuomba wakazi msamaha

Na KALUME KAZUNGU BARAZA la wazee Kaunti ya Lamu linataka wakuu wa usalama Pwani waombe radhi kwa kuwadharau wakazi. Mnamo Jumanne,...

Wabunge waitaka serikali kuwalipa wazee wa vijiji

Na CHARLES WASONGA SERIKALI itaanza kuwalipa wazee wa mitaa marupurupu kutokana na huduma wanazotoa kwa ushirikiano na machifu na...

Serikali yakosa kulipa wazee miezi 4 mfululizo

NA CECIL ODONGO MAELFU ya wazee ambao wamesajiliwa kwenye mpango wa Serikali wa kuwapa pesa za kila mwezi, hawajapokea hela hizo tangu...

Uasin Gishu kununulia wazee wa vijiji sare kwa Sh10 milioni

WYCLIFF KIPSANG na ONYANGO K’ONYANGO SERIKALI ya kaunti ya Uasin Gishu itatumia Sh10 milioni kununua sare kwa wazee wa vijiji ikisema...

Wazee wa vijiji wataka serikali iwape mishahara na sare za kazi

Na Alex Njeru WAZEE wa vijiji Kaunti ya Tharaka-Nithi, wameiomba serikali ya kitaifa kuwalipa mishahara na kuwapa sare za...

Waboni walia maisha magumu huenda yakaangamiza jamii yao

NA KALUME KAZUNGU WAZEE kutoka jamii ya Waboni, Kaunti ya Lamu, wanaitaka serikali ya kitaifa kufikiria kuangazia sekta nyingine muhimu za...

Wazee wa Agikuyu wamkataa Ngunjiri kuwa msemaji wa jamii

Na WAANDISHI WETU Mzozo unatokota baada ya Baraza la wazee la Agikuyu kusema halitamtambua mbunge wa Bahati Kimani Nginjiri, kama...

KURUNZI YA PWANI: Uchu wa mali, tuhuma za uchawi zinavyowaangamiza wazee Kilifi

Na KAZUNGU SAMUEL Baada ya mvi kuwa chanzo cha mauaji ya wazee katika kaunti ya Kilifi miaka ya awali, mambo sasa ni tofauti. Taifa...

Raila anadi upatanisho kwa jamii ya Waluo

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga, ameomba wazee wa jamii ya Waluo wazidi kuendelea kupatanisha jamii hiyo...

Wazee wateta kunyimwa hela kwa sababu ya vidole chakavu

Na FADHILI FREDRICK BAADHI ya wazee wanaofaidika kutokana na mpango wa pesa kila mwezi kupitia mpango maalum wa serikali kutoka kaunti...