ANC yafufua wito Mudavadi awe naibu wa Ruto

NA WINNIE ATIENO WANACHAMA wa Amani National Congress (ANC), wamefufua wito kumtaka Naibu Rais William Ruto, kumchagua kinara wao, Bw...

Hila ya Ruto kumtetea Kalonzo

NA BENSON MATHEKA NAIBU RAIS William Ruto amezua mdahalo kwa kumtetea kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kuteuliwa mwaniaji...

Pigo kwa Ruto Jubilee ikifufuka Mlima Kenya

GITONGA MARETE Na ALEX NJERU VUGUVUGU la Azimio la Umoja linaloongozwa na kiongozi wa ODM Raila Odinga limeanza kupata uungwaji mkono...

Ruto apata tikiti ya UDA kuwania urais

Na NDUBI MOTURI NAIBU Rais William Ruto, ndiye mgombea urais wa chama cha United Democratic Alliance baada ya Baraza Kuu la Kitaifa...

Ruto kuzuru USA, Uingereza siku 12

Na KITAVI MUTUA NAIBU Rais, William Ruto anatarajiwa kusafiri hadi Amerika na Uingereza kuanzia Jumapili hii ambapo atakutana na...

Washauri wa Uhuru watajwa kuchangia umaarufu wa Ruto

NA MWANGI MUIRURI WANDANI wa Rais Uhuru Kenyatta wamelaumiwa kwa kuchangia kudidimia kwa umaarufu na ushawishi wake katika eneo la Mlima...

Hatutakubali utupange, Ruto aambia Uhuru

Na SIAGO CECE NAIBU Rais William Ruto jana Jumamosi aliongoza washirika wake katika muungano wa Kenya Kwanza Alliance kumtaka Rais Uhuru...

Jubilee, ODM kuonyesha Ruto ubabe

Na BENSON MATHEKA MIKUTANO mikuu ya kitaifa ya wajumbe (NDC) ya vyama vya Jubilee na ODM itakayofanyika wakati mmoja mwezi huu Februari,...

Raila na Ruto wararuana vikali Mlimani

Na WAANDISHI WETU NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga jana walivamia eneo la Mlima Kenya kusaka kura za urais huku...

Ruto aambia wapinzani waache vitisho

Na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto amedai kuwa wapinzani wake wanatumia vitisho dhidi ya washirika wake kabla ya uchaguzi mkuu wa...

Azimio la Raila lamtikisa Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto alihisi uzito wa Azimio la Umoja, kundi linaoongozwa na kinara wa chama cha ODM, Bw Raila...

Raila na Ruto bega kwa bega

Na WINNIE ONYANDO KINARA wa ODM Raila Odinga na Naibu Rais William Ruto kufikia sasa wako bega kwa bega kwenye kinyang’anyiro...