Raila na Ruto bega kwa bega

Na WINNIE ONYANDO KINARA wa ODM Raila Odinga na Naibu Rais William Ruto kufikia sasa wako bega kwa bega kwenye kinyang’anyiro...

Wahubiri wahimiza kampeni za heshima

Na JUMA NAMLOLA NAIBU Rais William Ruto na kinara wa ODM Raila Odinga, wameonywa dhidi ya kutumia kampeni zao za kusaka kura kuzua...

Makahaba wapigania pesa za Ruto

Na PIUS MAUNDU MCHANGO wake Naibu Rais William Ruto wa Sh1 milioni kwa makahaba wa mji wa Mtito Andei, kaunti ya Makueni umezua...

Wataka suti tu!

ONYANGO K’ONYANGO NA LEONARD ONYANGO WANASIASA wakuu wanaomezea mate urais mwaka ujao wamesisitiza kuwa sharti walio katika mirengo...

Riziki: Wamlilia Ruto awatoe kwa ukahaba

Na WACHIRA MWANGI KIKUNDI cha wanawake wanaofanya kazi ya ukahaba katika Kaunti ya Mombasa, wamemwomba Naibu Rais William Ruto awasaidie...

Ruto alikerwa na Raila – Wandani

Na IBRAHIM ORUKO NAIBU Rais William Ruto alikwepa kongamano la ugatuzi katika Kaunti ya Makueni Ijumaa wiki jana, kwa kukerwa na hadhi...

Ruto asusia Kongamano la Ugatuzi

Na WAANDISHI WETU NAIBU RAIS William Ruto jana alisusia Kongamano la Saba la Ugatuzi lililoandaliwa katika Kaunti ya Makueni licha ya...

Ngome 4 zawanyima usingizi

Na BENSON MATHEKA WAGOMBEAJI WAKUU wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2022, Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga,...

Majibizano hatari kwa Ruto Mlimani

Na WANDERI KAMAU MAJIBIZANO makali kati ya Naibu Rais William Ruto na baadhi ya wanasiasa katika ukanda wa Mlima Kenya, yanatishia...

Mkazi adai hakimiliki za ‘Bottom up’

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA aliyebuni mfumo wa kiuchumi wa “Bottom Up” anaomba Mahakama Kuu iwazime wanasiasa kuutumia kama...

Ruto awasuta wanaotaka ajiuzulu

Na SAMMY WAWERU NAIBU Rais William Ruto amewasuta vikali wapinzani wake kwa kumtaka ajiuzulu kufuatia hatua yake kuikosoa mara kwa mara...

Wapinzani wa Ruto hawatambomoa mashinani kirahisi

Na BENSON MATHEKA WAPINZANI wa Naibu Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu wa 2022 wana kibarua kingumu kubomoa mtandao aliojenga kote...