Habari za Kitaifa
HABARI ZA HIVI PUNDE:Watu 17 wamefariki papo hapo katika ajali mbaya ya barabarani
Watu 17 wamefariki papo hapo katika ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha magari kadhaa eneo la Salama, kwenye barabara kuu ya Mombasa-Nairobi, Kaunti ya Makueni. Kamishna wa Kaunti ya Makueni, Abdullahi Khalif, amethibitisha ajali hiyo.
Habari zaidi kufuata..