Habari za Kitaifa
Washukiwa 13, akiwemo mshukiwa wa mauaji ya Kware wametoroka rumande

Aliyekuwa Mkuu wa Polisi Nairobi, Bw Adamson Bungei. PICHA|MAKTABA
WASHUKIWA 13, akiwemo mshukiwa wa mauaji ya Kware Collins Jumaisi, wametoroka kutoka Kituo cha Polisi cha Gigiri, Kamanda wa Polisi Nairobi, Bw Adamson Bungei, amethibitisha.
Bw Bungei alieleza kuwa washukiwa wengine 12 waliotoroka mwendo wa saa tisa usiku, ni raia wa Eritrea, wenzao wawili wakisalia kituoni humo.