BI TAIFA NOVEMBA 05, 2020

Margaret Njeri 22, ni mkazi wa eneo la Lanet, Kaunti ya Nakuru. Yeye ni mwanamitindo na mwanahabari chipukizi. Uraibu wake ni kusafiri na kuogelea. Picha/Richard Maosi