• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 7:50 AM

ONGAJI: Mashirika yameanika udhaifu wa sekta ya afya Afrika

Na PAULINE ONGAJI Hivi majuzi kuliibuka mtafaruku baina ya mashirika mawili yasiyo ya kiserikali nchini, kuhusu udhibiti wa fedha...

Mwanamume shupavu anayehamasisha umma kuhusu maswala ya hedhi

Na DIANA MUTHEU KULINGANA na ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka wa 2018, wasichana 500 milioni ulimwenguni kote hawakuweza kupata vifaa...

‘Wahudumu wa afya Mombasa hawana bima ya afya’

Na WINNIE ATIENO WAHUDUMU wa afya katika Kaunti ya Mombasa wanafanya kazi bila bima ya afya wakiendelea kuhatarisha maisha yao...

Kifafa hakijamzuia kutimiza ndoto yake

Na PAULINE ONGAJI Licha ya changamoto anazokumbana nazo maishani kama mwathiriwa wa maradhi ya kifafa, kila siku anajizatiti kuishi...

Wahudumu wa afya Mombasa watishia kugoma

Na WINNIE ATIENO WAHUDUMU wa afya katika Kaunti ya Mombasa wametishia kuanza mgomo baridi kufuatia kucheleweshwa kwa mshahara wa...

COVID-19: Visa vipya ni 121

Na SAMMY WAWERU KWA muda wa kipindi cha saa 24 zilizopita, Kenya imethibitisha visa vipya 121 vya Covid- 19, idadi jumla ya wagonjwa...

AFYA: Hatua za kumsaidia mjamzito kupunguza kichefuchefu

Na MARGARET MAINA [email protected] MIEZI mitatu ya kwanza ya ujauzito, ni muda wa mabadiliko mbalimbali kimwili na...

SIHA NA LISHE: Ulaji wa tende una manufaa kadhaa katika mwili wa binadamu

Na MARGARET MAINA [email protected] TUNDA aina ya tende ni maarufu sana katika mataifa ya Arabuni kama vile Saudi Arabia na...

Kagwe awapongeza Wakenya kwa kutilia maanani taratibu na sheria za kudhibiti Covid-19

Na SAMMY WAWERU KENYA inaendelea kukabili janga hatari la Covid-19 na Waziri wa Afya Mutahi Kagwe sasa anawapongeza Wakenya akisema...

KMPDU yasisitiza kubuniwe tume ya kuajiri wahudumu wa afya na kuangazia maslahi yao

Na SAMMY WAWERU MUUNGANO wa Madaktari, Watalaamu wa Dawa na Madaktari wa Meno (KMPDU) Jumatatu umesema maslahi na masaibu yanayofika...

‘Huenda ukalazimika kupimwa Covid-19 kabla ulazwe hospitalini’

Na CHARLES WASONGA HUENDA Wakenya wote watakaohitajika kulazwa hospitalini kwa matibabu zaidi wakalazimika kupimwa kubaini kama wana...

COVID-19: Visa vipya leo ni 25 idadi jumla nchini ikifika 607

Na MWANDISHI WETU VISA vipya vya Covid-19 nchini Kenya leo Alhamisi ni 25 idadi jumla nchini ikifika 607, ametangaza Waziri Msaidizi wa...