SARATANI YA MATITI: ‘Nilidhani ni ugonjwa wa wanawake pekee…’

NA PAULINE ONGAJI Alipogundua kwamba alikuwa anaugua kansa ya matiti mwaka jana, alishtuka sana kwani hakujua kwamba maradhi haya pia...

AFYA: Miaka 17 baadaye bado chozi linamtiririka…

NA PAULINE ONGAJI Kwa miaka 17, maisha ya Risper Muhoma, 40, mkazi wa kitongoji duni cha Kibra, jijini Nairobi, yamekuwa...

Jinsi ya kulinda afya ya meno ya mtoto

[caption id="attachment_62837" align="alignnone" width="803"] Lydia Njeri akiwa na mwanawe Ivan anayetabasamu. PICHA/...

AFYA NA ULIMBWENDE: Ujauzito haumaanishi kupoteza mvuto

Na MARGARET MAINA ZIPO njia mbalimbali za kukusaidia kufurahia urembo wako mwanamke hasa katika kipindi maalumu maishani mwako;...

Mashirika kutoa mafunzo kuhusu hedhi kwa wavulana

Na DIANA MUTHEU MASHIRIKA ya kibinafsi katika Kaunti za Mombasa na Kilifi yamependekeza watoto wa kiume wahusishwe katika mafunzo kuhusu...

AFYA: Ngoja ngoja ya miezi tisa kaja na majonzi tele

NA PAULINE ONGAJI Ni mwezi mmoja sasa tangu kumpoteza mwanawe na Fatuma Ibrahim, 27, bado anauguza jeraha lililotokana na upasuaji...

Utatupwa ndani miezi 6 ukinaswa ukitema mate ovyo jijini Nairobi

COLLINS OMULO na JAMES MURIMI MTU yeyote atakayepatikana akitema mate kwenye barabara ama kupenga kamasi bila kutumia kitambaa jijini...

Wakazi wa Marakwet waomboleza Padre Reinhard Bottner aliyewaletea ‘mwanga’ wa elimu, imani ya dini na huduma za afya

Na EVANS KIPKURA PADRE raia wa Ujerumani, Reinhard Bottner alipotumwa Kenya kwa shughuli za kimisheni mnamo 1975, alijipata katika eneo...

Amina Abdalla: Tegemeo la watu wenye akili punguani Mombasa

Na DIANA MUTHEU “KILA ‘mwendawazimu’ ana historia ndefu ya mambo yaliyopelekea hali yake,” anasema Bi Amina Abdalla, mwanamke...

Aanzisha hazina ya kusaidia wanaougua kifafa

Na PAULINE ONGAJI Baada ya kukumbwa na kifafa, ameamua kusaidia wengine wanaokumbwa na hali sawa na yake. Hii ni hadithi yake Bw...

Msanii atumia muziki kutuliza wagonjwa hospitalini

Na PAULINE ONGAJI Anatumia muziki kuwatuliza wagonjwa waliolazwa hospitalini. Ni kazi ambayo Bw Willis Ochieng amekuwa akifanya kwa...

ONGAJI: Mashirika yameanika udhaifu wa sekta ya afya Afrika

Na PAULINE ONGAJI Hivi majuzi kuliibuka mtafaruku baina ya mashirika mawili yasiyo ya kiserikali nchini, kuhusu udhibiti wa fedha...