Afrika yajadili haja ya mfumo bora wa afya

Na PAULINE ONGAJI KUUNDA mfumo mpya thabiti wa kiafya ndio ujumbe uliotawala kongamano la kwanza la kimataifa kuhusu afya ya umma (CPHIA...

TAHARIRI: Ipo shida wauguzi kutofahamu lugha

Na MHARIRI UFICHUZI wa Waziri wa Afya Mutahi Kagwe kwamba wauguzi 290 walifeli Kiingereza na kukisa nafasi ya kuajiriwa Uingereza,...

Jamii mbioni kulinda afya ya mama na mtoto

NA PAULINE ONGAJIĀ  Inakaribia adhuhuri siku hii ya Jumatatu, Agosti, 30, 2021. Joyce Nkalo, kutoka eneo la Embolei, Kaunti ya Kajiado,...

Covid-19: Majaribio kufanikisha utoaji chanjo kwa watoto wa kuanzia umri wa miaka mitano

Na MARY WANGARI WATOTO kuanzia umri wa miaka mitano huenda wakaanza kupatiwa chanjo dhidi ya Covid-19 iwapo matokeo ya utafiti...

AFYA: Umuhimu wa mtu kula chakula kwa uwiano unaotakiwa

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com ULAJI wa chakula unaofaa ni ule ambao mtu anahakikisha kwamba anakila chakula...

AFYA: Vidonda vya tumbo

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com VIDONDA vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na...

Gharama ya juu ya matibabu inavyobagua maskini

NA LEONARD ONYANGO UGONJWA wa corona umejiongeza kwenye orodha ndefu ya maradhi hatari ambayo yamewalazimu Wakenya maskini kutumia mbinu...

Mwandishi wa NMG, Pauline Ongaji atuzwa

NA RICHARD MAOSI MWANDISHI wa masuala ya afya na mazingira katika kampuni ya Nation Media Group (NMG) Bi Pauline Ongaji ametajwa kama...

MARY WANGARI: Elimu kuhusu afya ya uzazi itiliwe maanani hata zaidi

Na MARY WANGARI MAJUZI, Waziri wa Elimu Profesa George Magoha aliamrisha wanafunzi wajawazito ambao hawajarejea shuleni kusakwa,...

Dawa bandia za hamu ya mapenzi zinavyohatarisha maisha ya wanaume

NA PAULINE ONGAJI   WANAUME humu nchini wamekuwa wakihatarisha maisha yao kwa kutumia kiholela dawa za kuongeza hamu ya mapenzi...

Anatumia mitandao ya kijamii kuhamasisha umma kuhusu Ukimwi

Na JOHN KIMWERE NI mwalimu wa dini katika Kanisa la Bethlehem Judah Restoration, linalopatikana Bombolulu Kisimani steji, Mombasa,...

Je, nini maana ya ugonjwa wa sciatica?

Na MARY WANGARI Je, sciatica ni nini? Kwa mujibu wa Dkt Brian Rono, Mtaalam wa Viungo na Upasuaji, sciatica inayofahamika pia kama...