• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 5:55 AM

Kanisa la PCEA lawapa chakula wahitaji wa msaada

Na LAWRENCE ONGARO KANISA la PCEA Makongeni, Thika, linaendelea kuwasaidia watu wa kipato cha chini kwa kuwapa chakula ikiwa ni njia...

CTWOO: Shirika lawafaa wengi kwa kusambaza chakula mitaa ya mabanda

Na SAMMY WAWERU MOYO wa kutoa ulichangia pakubwa hatua ya Bi Dianah Kamande kuanzisha shirika moja lisilo la kiserikali (NGO) la...

Mkurugenzi wa Skyways, wazazi wawatunuka walimu chakula na bidhaa muhimu

Na MISHI GONGO IMEKUWA furaha kwa walimu wa shule ya msingi ya mmiliki binafsi ya Skyways iliyoko VOK eneobunge la Nyali baada ya wazazi...

COVID-19: Walemavu Thika walalama chakula cha msaada hakiwafikii

Na LAWRENCE ONGARO UGAWAJI wa chakula unastahili kuendeshwa kwa uwazi bila ubaguzi. Walemavu na vipofu kutoka kijiji cha Kiandutu...

Jamii ya Wamakonde yalalama imetengwa katika ugavi wa chakula

Na MISHI GONGO JAMII ya Wamakonde wanaoishi eneo la Makongeni, Msambweni katika Kaunti ya Kwale, ina malalamiko kuhusu kutengwa katika...

Wazee wamlaani gavana kuzuia mbunge kuwapa chakula

Na TITUS OMINDE WAKONGWE wanaoishi katika mitaa ya mabanda katika Kaunti ya Uasin Gishu wamemshtumu Gavana Jackson Mandago kwa madai ya...

Mashirika, viongozi waanza kutoa chakula cha msaada

Na WAANDISHI WETU SERIKALI za Kaunti, viongozi wa makanisa na mashirika mbalimbali wameanza kutoa vyakula kwa familia zisizojiweza...

Hakuna chai wala chakula kwa maseneta kikaoni

NA DAVID MWERE HUKU maseneta wote 67 wakikongamana Jumanne baada ya Seneti kusitisha vikao vyake hapo Machi 17 kutokana na janga la...

CORONA: Wakazi waonywa dhidi ya kula sahani moja

Na WAWERU WAIRIMU SPIKA wa Bunge la Kaunti ya Isiolo Hussein Roba amewarai wakazi wakomeshe utamaduni wa kula kwenye sahani moja, wakati...

FAO yaonya uvamizi wa nzige unahatarisha upatikanaji wa chakula

Na MAGDALENE WANJA SHIRIKA la Chakula na Kilimo (FAO) la Umoja wa Mataifa limetoa onyo likisema kwamba uvamizi wa nzige unaoshuhudiwa...

Nzige ni chakula kizuri, wataalamu washauri

Na WINNIE ATIENO WATAALAMU wa hali ya hewa na tabianchi na wenzao wa lishe bora wamewasihi Wakenya wavune nzige waliovamia zaidi ya...

Kuku ndicho chakula maarufu nchini Kenya – Ripoti

Na MARY WANGARI IDADI kubwa ya Wakenya hupendelea kuagiza mlo wa kuku na pizza ambavyo ni miongoni mwa vyakula vilivyojitwalia umaarufu...