• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 3:25 PM

KILIMO NA BIASHARA MASHINANI: Shule iliyo mstari wa mbele kufunza wanafunzi kilimo kukabili baa la njaa

Na SAMMY LUTTA SHULE ya Msingi ya Pokotom mjini Kakuma, Kaunti Ndogo ya Turkana Magharibi ina idadi ya wanafunzi 1,500. Wanafunzi...

AKILIMALI: Wizi wa mifugo ulimfanya aingilie kilimo; sasa hajuti

Na SAMUEL BAYA MWAKA wa 2009 wakati wa kilele cha wizi wa mifugo kati ya jamii za Wasamburu, Wapokoti na Waturkana, Mathew Lesiyampe...

KILIMO: Mboleahai inayoimarisha mazao na rutuba udongoni

Na SAMMY WAWERU KATIKA kijiji cha Karanga kilichoko Kinangop Kusini, Kaunti ya Nyandarua, Bw Nicholas Ngata hufanya shughuli mbalimbali...

UFUGAJI: Chumvi na madini faafu kwa mifugo ni muhimu kwa uzalishaji maziwa

Na SAMMY WAWERU ALIPOANZA ufugaji wa ng’ombe wa maziwa zaidi ya miaka saba iliyopita, Gitau Kinuthia alikuwa mateka wa chumvi na...

HARAKATI ZA KUJIKIMU: Jamii ya ufugaji iliyobadili sura ya Samburu kwa kukuza mimea

Na SAMUEL BAYA KAUNTI ya Samburu inajulikana sana kwa sababu ya shughuli za ufugaji na zaidi biashara ya mifugo. Hii ni kwa sababu ya...

RIZIKI NA MAARIFA: Ameunda ‘Israel ndogo’ mtaani kupitia uvunaji maji na ukulima

Na SAMMY WAWERU KUSINI Mashariki mwa Bahari ya Mediterranean na Kaskazini mwa Bahari ya Shamu, Israel ni taifa kame ambalo ni kitovu cha...

AKILIMALI: Ufugaji kuku njia ya lishe shuleni pamoja na pato

Na PIUS MAUNDU na CHARLES WASONGA KITU kisicho cha kawaida kilihusishwa katika uchaguzi wa viongozi wa baraza la wanafunzi katika Shule...

AKILIMALI: Mashine za kisasa kurahisisha kilimo

NA RICHARD MAOSI Mfumo wa kutekeleza kilimo kidijitali umekuwa ukipigiwa debe kutokana na uvumbuzi wa kisasa unaoelekea kurahisisha...

Wakulima waondolewa hofu ya uhaba wa mbegu za mahindi

Na GERALD BWISA KAMPUNI ya mbegu nchini imewaondolea wakulima hofu kwamba kutakuwa na upungufu wa mbegu za mahindi kabla ya msimu ujao...

Serikali yawatuma Israel wanafunzi 96 kufundishwa ukulima wa kisasa

Na MAGDALENE WANJA KATIKA juhudi zake za kutatua shida ya uhaba wa chakula nchini, serikali imewatuma wanafunzi 96 nchini Israel kupokea...

AKILIMALI: Maembe yana mapato kwa wanaokuza miche iliyoimarishwa

Na SAMMY WAWERU KWA zaidi ya miaka 20, Mary Njuguna amekuwa akivuna maembe kutoka kwenye miembe miwili. Yeye hufanya kilimo-mseto...

KILIMO: Faida za ‘greenhouses’

Na SAMMY WAWERU ILI kupata mazao bora na ya kuridhisha mkulima hakosi kupitia changamoto za hapa na pale katika jitihada zake. Ni...