Ananyoa kwa shoka na wateja wamejaa kibao

Na WANGU KANURI Julius Mwangi, 24, ni kinyozi ambaye amevuma kwa kutumia shoka kuwanyoa wateja wake. Kinyozi huyu aliamua kuanza kutumia...

Kilimo champa ajira na kumlipia karo ya chuoni

Na WINNIE ONYANDO Akiwa katika ziara yake ya kila siku ya kukagua shamba lake la robo ekari, Rueben Onyang’o, 22, anaonekana...

Wito mashirika yashirikiane kueneza bayoteknolojia nchini

Na WANGU KANURI wkanuri@ke.nationmedia.com Kongamano la Mawasiliano ya Bayosayansi Afrika (ABBC2021) limerai washikadau kutoka...

Vyombo vya habari vyatakiwa kuangazia habari za kilimo cha bayoteknolojia

NA WANGU KANURI VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kuwekeza zaidi katika uandishi wa habari na makala kuhusu bayoteknolojia ili kutimiza...

Aibu wizara muhimu zikiburuta mkia katika ripoti ya utendakazi

NA NDUNGI MAINGI IMEKUWA fedheha kwa wizara zilizorodheshwa mkiani katika utendakazi kwenye ripoti ya 2019/2020 kwani ni zile...

Idadi ya vijana kwenye kilimo na ufugaji ni ya chini mno – tafiti za shirika

Na SAMMY WAWERU IDADI ya vijana wanaofanya shughuli za kilimo nchini ni ya chini mno, limesema shirika lisilo la kiserikali (NGO) kutoka...

Kilimo bila kemikali kinalipa, Sylvia asimulia

Na MAGDALENE WANJA Baada ya Bi Sylvia Miloyo kukamilisha masomo yake na kupata shahada katika ujuzi wa Community Developnment na...

Wambora ailaumu Serikali kwa kudhalilisha wakulima

NA RICHARD MAOSI BARAZA la Magavana (CoG), Wizara ya Kilimo, Shirika la Kutoa Msaada Duniani (USAID) ziliandaa mkutano mjini Naivasha...

GILBERT AWINO: Magereza yadhihirisha kilimo ni ngao dhidi ya ukosefu wa ajira

Na GILBERT AWINO IJUMAA wiki ijayo tutakuwa tumeingia mwaka mpya wa 2021. Mwaka huu wa 2020 umeibuka kuwa mgumu sana kiasi kwamba...

AFC yashirikiana na UN Women kuhamasisha wanawake wanaofanya kilimo

Na DIANA MUTHEU SHIRIKA la Mikopo na Ustawishaji Kilimo (AFC) likishirikiana na Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women),...

Si lishe tu, kilimo cha ‘minji’ kinaongeza rutuba shambani

Na SAMMY WAWERU Kwa muda mrefu David Muriuki ambaye ni mtaalamu na afisa wa Kilimo Kaunti ya Kirinyaga amekuwa akijaribu kuangazia suala...

Wakulima wataka NCPB ipewe fedha

STANLEY KIMUGE na WYCLIFF KIPSANG WAKULIMA wa mahindi eneo la Bonde la Ufa wametoa wito kwa serikali kuharakisha kutoa pesa kwa Bodi ya...