• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

KAULI YA WALLAH: Ni busara kufikiri badala ya kupapia kusema au kujibu

NA WALLAH BIN WALLAH KUFIKIRI ni kazi. Ubongo wako hauwezi kukupa majibu sahihi ya maswali unayoulizwa bila ya ubongo kufanya kazi ya...

LUGHA: ‘Maankuli’ au ‘mamkuli’ ni zao la kujifunza lugha kikasuku!

NA ENOCK NYARIKI MOJA kati ya maneno mawili yatumiwayo na watu kurejelea chakula ni mlo. Kuna jingine ambalo aghalabu hukosewa katika...

CHAKISE; Nuru inayovumisha mawimbi ya Kiswahili Shuleni Stelurm Elite, jijini Nairobi

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Msingi ya Stelurm Elite, Nairobi kimewawezesha wanafunzi kupiga hatua na kutia fora...

Bila kuzingatia muktadha, neno ‘hakika’ halipaswi kubadilishwa

Nitaanza makala haya kwa kuuliza swali lifuatalo: Je, mtu huwa na uhakika wa jambo au hakika ya jambo? Vipo baadhi ya vielezi ambavyo...

CHAKIBU: Jivunio la Butula Boys kwa makuzi ya lugha

Na CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika Shule ya Upili ya St Louis Butula Boys, Kaunti ya Busia (CHAKIBU), kiliasisiwa kwa nia ya...

NMG yatenga siku ya matumizi ya Kiswahili mara moja kila mwezi

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya habari ya Nation Media Group imeimarisha juhudi zake za kukuza matumizi ya Kiswahili kwa kutenga siku moja...

Watanzania mitandaoni wawafafanulia Wakenya maana ya neno ‘bibi’

Na MARY WANGARI   WAKENYA Jumatatu wameungana na jamii ya kimataifa kumboleza kifo cha Mama Sara Obama kwa kutuma risala zao za...

Viambajengo muhimu katika lugha kama chombo cha mawasiliano

Na MARY WANGARI Lugha huundwa kwa sauti ambazo huunganishwa ili kuunda neno au sehemu ya neno, kisha maneno huungana kuunda miundo...

Lugha kama chombo cha mawasiliano baina ya binadamu

NA MARY WANGARI DHANA ya mawasiliano ni mchakato wa kuwasilisha taarifa kwa njia ya ubadilishanaji wa hisia, mawazo, matarajio,...

GWIJI WA WIKI: Tabitha Manzi

Na CHRIS ADUNGO USIOGOPE kukosea. Kupotea njia ndiko kujua njia. Jaribu tu. Ipo siku ambapo mghafala utaisha. Zidi kumulika uendako kwa...

Muda uliosalia kabla ya mtihani wa kitaifa unatosha kujiandaa

MTIHANI huzua changamoto kwa yeyote anayepania kuufanya. Nakisia ni kwa sababu ya ushindani unaohusishwa nao, hasa nchini mwetu. Aghalabu...

Mambo ya msingi kufahamu katika uandishi wa insha bora

Na ENOCK NYARIKI KWA mara ya kwanza kabisa, mitihani ya Kidato cha Nne na Darasa la Nane ambayo hufanywa katika mwezi wa Kumi na Kumi na...