• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 7:55 PM

Watoto mayatima wafadhiliwa kuejerea darasani

Na LAWRENCE ONGARO WATOTO mayatima wapatao 100 wa Gatundu Kaskazini, wamefadhiliwa kwa vyakula huku wakiahidiwa kulipiwa karo shuleni...

Wanafunzi wengi zaidi kusomea chini ya miti 2021

Na WAANDISHI WETU IDADI kubwa ya wanafunzi watakaorudi shuleni wiki ijayo, watalazimika kusoma chini ya miti baada ya serikali kushindwa...

Sh19 bilioni za mpango wa elimu bila malipo kutolewa kabla ya Januari 4

Na CHARLES WASONGA WIZARA ya elimu Jumatatu ilitangaza kuwa serikali itatuma Sh19 bilioni katika shule za msingi na za upili za umma...

CORONA: Shule bado kujiandaa

WANDERI KAMAU na FAITH NYAMAI HUKU shule zikitarajiwa kufunguliwa Jumatatu ijayo, hofu imeibuka nchini kuhusu hali na mazingira ya shule...

Matiang’i aagiza machifu kusaka wanafunzi watakaokaidi kurudi shule

Na George Odiwour WAZIRI wa Usalama Dkt Fred Matiang’i ameagiza machifu kusaka watoto ambao watakosa kuripoti shule zitakapofunguliwa...

Jinsi mafuriko yanavyoathiri shule zilizoko katika mitaa ya mabanda Nairobi

Na SAMMY KIMATU [email protected] SHULE nne katika mitaa ya mabanda ya Mukuru katika Kaunti ya Nairobi zitafungwa ikiwa...

Raha kwa wachuuzi baada ya masoko kufunguliwa

NA KEVIN ROTICH Baada ya shule kufungwa mwezi wa Machi kutokana na mkurupuko was virusi vya Korona, uuzaji wa vyakula, vifaa vya...

Magoha kuandaa kikao kujadili ratiba mpya ya shule

Na FAITH NYAMAI WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha ameitisha mkutano wa wadau katika sekta ya elimu wiki hii kujadili kalenda mpya ya...

Hofu corona ikizidi kusambaa shuleni, serikali ikisisitiza haitasitisha masomo

Na Waandishi Wetu MAKALI ya virusi vya corona yanaendelea kutikisa shuleni wiki chache tu baada ya wanafunzi kurejea huku Kamusinga na...

Shule hazitafungwa licha ya corona kusambaa zaidi – Serikali

CHARLES WASONGA NA VALENTINE OBARA SERIKALI imesisitiza kuwa shule hazitafungwa licha ya virusi vya corona kuzidi kuongezeka katika siku...

Shule 11 zahamishia wanafunzi kwingine

SHABAN MAKOKHA na LIZ OJINA SHULE 11 zimekosa kufunguliwa baada ya kuharibiwa na mafuriko katika maeneo ya Magharibi na...

Wanafunzi waliokataa kurudi shuleni wasakwa na machifu

Na Wycliffe Nyaberi MACHIFU na maafisa wa Nyumba Kumi katika eneo la Nyamagwa, Kaunti ya Kisii, wameanzisha msako wa kuwatafuta...